Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Jama nimefanya installation ya mod ya KAMAZ ninaipata kwenye kampuni gani kwenye ETS2?
 
hii game ilitakaga sababisha nipate ziro 4m4 sababu nilikuwa sina hamu na shule nawaza SAA 8:20 itafika saa ngap watu wakale mm nitoroke shule nikalicheze alafu kulala ndo saa 7usiku mzazi ananiona nashika madaftari kumbe akishala mm ndo game mpk nasinzia
 
haha noma sana..upate walau gtx630+ unacheza kwa ultra high setting usipime
 
Mkuu nimefanya kama maelekezo yalivyo ila ime niandikia THE GAME CONTAINS AUTHORISED MODIFICATIONS. No support is available for modified game.
Hiyo ndo maana ya Mod....ni modifications.. So ukiweka mods lazima itakupa hiyo msg.. Cha msingi ni wewe kujiridhisha kuwa zinafanya kazi vizuri..
 
Hili ndio scania nalotumia nmejaribu volvo nmeona handlin yake sio nzuri km scania streamline topline

Nmepata mega mod ya scania ina chassis na tank kubwa sasa hivi nafurahia long trip mafuta kibao
 
yani hizo discussion zenu tu zinanifarahisha utadhani nyie kweli ni wamiliki wa magali makubwa.

itabidi nifanye mpango na Mimi nijalibu kulicheza hili gemu. vip nitalipata wapi embu nijulisheni, na system requirements.
 
Hili ndio scania nalotumia nmejaribu volvo nmeona handlin yake sio nzuri km scania streamline topline

Nmepata mega mod ya scania ina chassis na tank kubwa sasa hivi nafurahia long trip mafuta kibao
haina tofauti na volvo yangu globetrotter fh12 tank 1600litres iko na 10 x 4 chassis, ila naona yako babkubwa zaidi katika tank...itafutie mod ya 10,000HP engine ijiongeze vizuri barabarani
 
Hili ndio scania nalotumia nmejaribu volvo nmeona handlin yake sio nzuri km scania streamline topline

Nmepata mega mod ya scania ina chassis na tank kubwa sasa hivi nafurahia long trip mafuta kibao
Sasa hapo mkuu upate mario map ndio utalifaid..!mana kweny Mario unapiga intercontinental trip...leo asubuh nmetoka morroco to USA basi unakatiza nchi za kutosha,utavuka bahar za kutosha na pia utapanda ndege za kutosha ww na mzigo wako....
 
Umeniambia mario map mpk niweke viva ndio inakubali?
 
Umeniambia mario map mpk niweke viva ndio inakubali?
Yaah mkuu...so far unatakiwa uwe na viva sindo update ya sasa

Ila pia kuna mario map za version zilizopita

Shida ya mario map inaload mda mrefu balaa.. Mwanzo nilidhani ni mashine yangu tu ila nimeona wengi online wanalalamika same thing hasa kwa sie wenye ma mods kibao manake mi nna mods kama 30+ hivi na zote natumia.. Nimeipenda tsm mod yenyewe ndo ipo compatible na mods nyingine nyingi..
 
Tsm mod ndio ipi?!
 
Mario inaload mwanzo ila ukisha anza safar haina shida...kwakua nmeipenda bas ile tym ina load huwa naisubir tu..

Tsm nafkir kuishusha kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…