HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
nili download
Version gani?
mkuu naomba nisaidie product key za version 1.21.1
Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach picha lakini sijui kama zitakubaliwa kutokana na mambo ya kibiashara.link hii
yeah...kwa sasa natumia 1.21...hiyo ya zamani niliitumia mda kidogo...
ni mchanganyiko mkuu...sehem za mjini nyingi ni lane mbili na za nje ya mji ni lane moja...kuna barabara inatoka tunisia vile mpaka libya...full jangwa afu pembeni ya Mediteranian sea...kuna sehem kuna kona kama za kitonga afu lane moja...very nice...ntaleta screenshort nikitulia..
kuna link nimeweka huko juu haiitaji key...ni kutoka torrent wamesha crack tayari...wewe ni kuinstall na kucheza...!!msaada wa product key, version 1.21.1
Wakuu nimesahau jinsi ya kutoka ktk route na kurudi main menu ili nichange baadhi ya settings. Help plz
Bonyeza esc
wakuu natamani sana kuchange mods na kutumia mabasi tofaut kama malcopolo paradiso..lakini nashindwa ntapataje izo mods na namna ya kuzichange? msaada wakuu
Hii game sikuwai kuicheza, nmeipakua imenivutia tatzo limekuja wakat nadrive gari ikapinduka nmeshindwa kuiinua na game imebak hapohapo. Na kuna wakat nikiwa na drive inadisplay sms kwamba gari inatakaiwa service, sijui jinsi ya kuifanyia service au inakuja sms engne malfunction nayo sijui jnsi ya kuiweka sawa engine. Msaada naomben ili niendelee kuenjoy gam
unakosa uhondo ndugu mie kila siku nakesha.Gari likipinduka bonyeza f7 afu enter afu ikublie kwa kubofya yes itakupeleka gereji utaitengeneza afu utaendelea kudundika.
Wakuu waweza kucheki video ya Euro truck simulator 2 na kukoment.link ni hii hapa https://youtu.be/JYlGKogmzB4
Hongera sana kaka naona control yako nzuri sana. Umenikumbusha chuo wakati nalicheza ktk PC yenye uwezo mkubwa nililizoea nikawa na control nzuri ya gari kuliko niliyo nayo ktk real life. Huwezi amini sahivi nalicheza kwa kusua sua. Ukiongeza na PC ilivyo inawahi chemka ndio kabisaaa
Pole sana, mimi natumia logitech 3D pro Joystick ndiyo maana. Siku hizi huchezi?
Wakuu waweza kucheki video ya Euro truck simulator 2 na kukoment.link ni hii hapa https://youtu.be/JYlGKogmzB4
Nacheza ila nikianza tu laptop inachemka balaa mpaka inastack...
Ingawa nimeweka low graphics ktk settings