Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Nilianza kutengeneza viwanja vya kwenye mbuga za wanyama za tz ila bado sijamaliza, sasa hivi natengeneza viwanja vya msembe na jongomero ambavyo vipo ruaha national park. Unaweza kutengeneza tupeane uzoefu?
yeah..nimeshatengeneza moja ya iringa...skuwa motivated kutengeneza sana viwanja vingine sababu ya uhalisia..kwa iringa ndo nyumbani so airport yake naifahamu nje ndani kwaiyo ikawa rahisi ila kwa vingine ikawa shida kidogo sababu sina details za kutosha ..
 

Ok, minatumia google earth kupata picha ya kiwanja. Unaweza ukapost nione kinafananaje?
 

Me niliiweka ktk simu koz ipo play store. Nitafurahi ukiweka hizo video zake mkuu
 
Hans mimi naitaka hiyo simulator 2 na ile yenye Ramani ya nchi za Afrika.
 
Tutambiane kidogo, ETS 2 nani yuko Level ya juu na anamiliki gari nyingi, bila kutumia mods?

Mimi niko level 34.
Kampuni yangu ina trucks 8.
Bank kuna 300,000+.
Naendesha Scania Streamline Topline.
Explored 66% of World Map (ETS version 1.20.1)
Profit / Last 7 days 500,000+
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…