Makampuni ya Tanzania ya usafirishaji yanakwama wapi, maana yanasababisha nchi inaingia kwenye migogoro na majirani wote

Rais Uhuru anajua Magu anapenda sifa za kuonekana mtu mwenye nguvu... akampa hilo.
Saa hii Uhuru hata amesahau kama kulikuwa na shida kama hiyo..

Sasa nimeelewa kwa nini hutakiwi kuingia makubaliano yoyote na mlevi.

Hivyo kumbe Uhuru ameshasahau kile alichokubaliana na Magu?
 
Hizo nchi zote za sadc mnauza bidhaa za pesa ngapi kwa mwaka halafu pia ulete takwim za bidhaa zenu ambazo mnauza Kenya na ulinganishe utaona tofauti.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, unapaswa wewe ndio ulijue hilo kabla ya kupiga Kelele, Tanzania inauza Kenya bidhaa zenye thamani ya $270M kwa mwaka, wakati Tanzania inauza bidhaa SADC zenye thamani ya $740M, na mwaka huu tunategemea kufikisha $1B.
 
Sasa nimeelewa kwa nini hutakiwi kuingia makubaliano yoyote na mlevi.

Hivyo kumbe Uhuru ameshasahau kile alichokubaliana na Magu?
si eti ni mlevi, Uhuru hashughuliki mvutano wa kitoto kama huu,
 
Hahahaha, unapaswa wewe ndio ulijue hilo kabla ya kupiga Kelele, Tanzania inauza Kenya bidhaa zenye thamani ya $270M kwa mwaka, wakati Tanzania inauza bidhaa SADC zenye thamani ya $740M, na mwaka huu tunategemea kufikisha $1B.
ha ha yani SADC mzima 740M,halafu Kenya pekee, 270M, meaning Kenya ni market yenu kubwa for a single nation...
 
Sasa kwann rais wenu alikubaliana na magu kuwakutanisha mawaziri, na mawaziri wakakutana na pctr wakapiga.
Afu mnageuka tena, huoni you guys are not men of your words, bunch of pussies, tutaona this time itakapoishia.

Kuna matamko ya wanasiasa, ila likija kwenye utendaji lazima masharti fulani yatimizwe, uibuke na cheti cha kaariokoo tukose kukupima kisa marais walitekenyana na kucheka.
 
ha ha yani SADC mzima 740M,halafu Kenya pekee, 270M, meaning Kenya ni market yenu kubwa for a single nation...
Hahahaha, nani amekuambia tunafanya biashara na nchi zote za SADC?. Kama hujui SADC inavyofanya kazi, huku hizi nchi zote zinajulikana kama ni nchi moja inayoitwa SADC, kwa taarifa yako, kila mwaka kuna pesa zinagawiwa nchi zote za SADC kama "Dividend" iliyopatikana kutokana faida itokanayo na ushuru wa intra SADC business, the more we trade within the SADC the higher the dividend the country gets, why should we trade with EAC?
 
Kuna matamko ya wanasiasa, ila likija kwenye utendaji lazima masharti fulani yatimizwe, uibuke na cheti cha kaariokoo tukose kukupima kisa marais walitekenyana na kucheka.
Sasa hiyo ni nchi gani ambayo wanasiasa wanasema vitu tofauti na wataalamu, sasa asikilizwe nani?, tukisema "Kenya is a confused country". Lazima kuwe na mawasiliano kati ya viongozi na wataalamu. Viongozi ndio dereva wakati wataalamu ni Engine na gear box katika Gari, visiposhirikiana lazima Gari litapinduka, kinachotokea Kenya, Gari linapinduka.
 
Swali yangu ni katika nchi zote za SADC mnazofanya biashara nazo, mnapata tu 740M, ilhali Kenya nchi moja tu ni 270M, huoni shida hapo...
 
Kuna matamko ya wanasiasa, ila likija kwenye utendaji lazima masharti fulani yatimizwe, uibuke na cheti cha kaariokoo tukose kukupima kisa marais walitekenyana na kucheka.
Mawaziri wa nchi mbili kukutana na kuita media na kutangaza mabadiliko ni siasa? Acha ujinga, hakuna siasa, you are not men of your words.
Bunch of pussies, msingepatanisha mwanzoni sasa kama nyinyi wanaume kweli. Mnakuja badilika badilika. Tutaona this time.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Ni mara ngapi Magu wamekutana na kuitana mandugu na Uhuru huko chato , halafu kesho unaskia wafanya biashara wakenya wanafurushwa TZ kwa masingizio ya kijinga??
 
Kwani Tanzania Hakuna matatizo ya kisiasa?

Hivi watanzania tunekuwaje siku hizi. Tupo Kama vichaa. Alieturoga ukute ameshakufa.
Sisi tuna matatizo hadi rais hawaelewani n makamu wake?
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Ni mara ngapi Magu wamekutana na kuitana mandugu na Uhuru huko chato , halafu kesho unaskia wafanya biashara wakenya wanafurushwa TZ kwa masingizio ya kijinga??
Tanzania ni nchi inayozingatia maadili ya uongozi, haiwezikani mkuu wa kazi atoe maelekezo na yasifuatwe na waliochini yake, lazima hao watendaji watawajibishwa, hizo fujo ziko huko kwenu kila kundi linapokea amri toka kwa rais wao. Kenyatta anajitahidi kuiweka sawa nchi kwa kuwafukuza waasi ndani ya Jubilee
 
Vipi yule mzee aliyepewa majibu ya positive na negative huko huko kunyaland mnasemaje kuhusu hilo
 
Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tumeamua kuwa incubator wa Coronavirus COVID-19 full stop.
MK254 sisi tunaongozwa na mawe. Mtuache na mawe yetu Hadi yalainishwe na Coronavirus
Mzee jiheshimu...pengine unawatoto na wajukuu huendani na vitu unavyoviandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…