Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Sawa mama jugen bashiteaya wasalimie apo bawacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mama jugen bashiteaya wasalimie apo bawacha
Rais Uhuru anajua Magu anapenda sifa za kuonekana mtu mwenye nguvu... akampa hilo.
Saa hii Uhuru hata amesahau kama kulikuwa na shida kama hiyo..
Hahahaha, unapaswa wewe ndio ulijue hilo kabla ya kupiga Kelele, Tanzania inauza Kenya bidhaa zenye thamani ya $270M kwa mwaka, wakati Tanzania inauza bidhaa SADC zenye thamani ya $740M, na mwaka huu tunategemea kufikisha $1B.Hizo nchi zote za sadc mnauza bidhaa za pesa ngapi kwa mwaka halafu pia ulete takwim za bidhaa zenu ambazo mnauza Kenya na ulinganishe utaona tofauti.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
si eti ni mlevi, Uhuru hashughuliki mvutano wa kitoto kama huu,Sasa nimeelewa kwa nini hutakiwi kuingia makubaliano yoyote na mlevi.
Hivyo kumbe Uhuru ameshasahau kile alichokubaliana na Magu?
ha ha yani SADC mzima 740M,halafu Kenya pekee, 270M, meaning Kenya ni market yenu kubwa for a single nation...Hahahaha, unapaswa wewe ndio ulijue hilo kabla ya kupiga Kelele, Tanzania inauza Kenya bidhaa zenye thamani ya $270M kwa mwaka, wakati Tanzania inauza bidhaa SADC zenye thamani ya $740M, na mwaka huu tunategemea kufikisha $1B.
Sasa kwann rais wenu alikubaliana na magu kuwakutanisha mawaziri, na mawaziri wakakutana na pctr wakapiga.
Afu mnageuka tena, huoni you guys are not men of your words, bunch of pussies, tutaona this time itakapoishia.
Hahahaha, nani amekuambia tunafanya biashara na nchi zote za SADC?. Kama hujui SADC inavyofanya kazi, huku hizi nchi zote zinajulikana kama ni nchi moja inayoitwa SADC, kwa taarifa yako, kila mwaka kuna pesa zinagawiwa nchi zote za SADC kama "Dividend" iliyopatikana kutokana faida itokanayo na ushuru wa intra SADC business, the more we trade within the SADC the higher the dividend the country gets, why should we trade with EAC?ha ha yani SADC mzima 740M,halafu Kenya pekee, 270M, meaning Kenya ni market yenu kubwa for a single nation...
si eti ni mlevi, Uhuru hashughuliki mvutano wa kitoto kama huu,
Sasa hiyo ni nchi gani ambayo wanasiasa wanasema vitu tofauti na wataalamu, sasa asikilizwe nani?, tukisema "Kenya is a confused country". Lazima kuwe na mawasiliano kati ya viongozi na wataalamu. Viongozi ndio dereva wakati wataalamu ni Engine na gear box katika Gari, visiposhirikiana lazima Gari litapinduka, kinachotokea Kenya, Gari linapinduka.Kuna matamko ya wanasiasa, ila likija kwenye utendaji lazima masharti fulani yatimizwe, uibuke na cheti cha kaariokoo tukose kukupima kisa marais walitekenyana na kucheka.
Swali yangu ni katika nchi zote za SADC mnazofanya biashara nazo, mnapata tu 740M, ilhali Kenya nchi moja tu ni 270M, huoni shida hapo...Hahahaha, nani amekuambia tunafanya biashara na nchi zote za SADC?. Kama hujui SADC inavyofanya kazi, huku hizi nchi zote zinajulikana kama ni nchi moja inayoitwa SADC, kwa taarifa yako, kila mwaka kuna pesa zinagawiwa nchi zote za SADC kama "Dividend" iliyopatikana kutokana faida itokanayo na ushuru wa intra SADC business, the more we trade within the SADC the higher the dividend the country gets, why should we trade with EAC?
Tunapata devidend ya karibu $300M kila mwakaSwali yangu ni katika nchi zote za SADC mnazofanya biashara nazo, mnapata tu 740M, ilhali Kenya nchi moja tu ni 270M, huoni shida hapo...
The combined GDP of SADC is US $721.3 billion, you can do better...Tunapata devidend ya karibu $300M kila mwaka
Mawaziri wa nchi mbili kukutana na kuita media na kutangaza mabadiliko ni siasa? Acha ujinga, hakuna siasa, you are not men of your words.Kuna matamko ya wanasiasa, ila likija kwenye utendaji lazima masharti fulani yatimizwe, uibuke na cheti cha kaariokoo tukose kukupima kisa marais walitekenyana na kucheka.
😀 😀 😀Mawaziri wa nchi mbili kukutana na kuita media na kutangaza mabadiliko ni siasa? Acha ujinga, hakuna siasa, you are not men of your words.
Bunch of pussies, msingepatanisha mwanzoni sasa kama nyinyi wanaume kweli. Mnakuja badilika badilika. Tutaona this time.
Sisi tuna matatizo hadi rais hawaelewani n makamu wake?Kwani Tanzania Hakuna matatizo ya kisiasa?
Hivi watanzania tunekuwaje siku hizi. Tupo Kama vichaa. Alieturoga ukute ameshakufa.
Definitely there is room for improvement within SADC, but that room is too small within EACThe combined GDP of SADC is US $721.3 billion, you can do better...
Tanzania ni nchi inayozingatia maadili ya uongozi, haiwezikani mkuu wa kazi atoe maelekezo na yasifuatwe na waliochini yake, lazima hao watendaji watawajibishwa, hizo fujo ziko huko kwenu kila kundi linapokea amri toka kwa rais wao. Kenyatta anajitahidi kuiweka sawa nchi kwa kuwafukuza waasi ndani ya Jubilee😀 😀 😀
Ni mara ngapi Magu wamekutana na kuitana mandugu na Uhuru huko chato , halafu kesho unaskia wafanya biashara wakenya wanafurushwa TZ kwa masingizio ya kijinga??
Vipi yule mzee aliyepewa majibu ya positive na negative huko huko kunyaland mnasemaje kuhusu hiloNi dhahiri kwenye hili la corona, Tanzania imeamua kutoendana na mataifa mengine duniani, yenyewe imeamua kupuuza hiki kirusi na kuendelea na maisha kama kawaida, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe, kwa hili hakuna taifa lenye uhuru wa kuingilia maamuzi yao Watanzania maana wenyewe ni taifa huru. Hivyo hata wakijifia huko watajua wenyewe na kuzikana. Lakini changamoto inaibuka pale kwamba Tanzania sio kisiwa, ni taifa lenye ujirani na mataifa mengine, linachangia hata baadhi ya makabila kwenye mipaka yake.
Kwa hiyo, ina maana kwa namna moja au nyingine lazima raia wake wataingia na kutoka kwenye baadhi ya haya mataifa ambayo yameizunguka, hususan madereva wanaofanya kazi za usafirishaji wa mizigo. Lakini changamoto inakuja pale, kila mojawapo wa haya mataifa wameweka bayana lazima yeyote anayeingia apimwe, hamna njia ya mkato kwa hili., iwe kule SADC au EAC, lazima upimwe, na imetokea kwamba madereva wengi wa Tanzania wanagunduliwa kuwa na kirusi, kitu ambacho kinasababisha aibu kwa uongozi wa Tanzania maana huko kwao walishaaminisha raia wao hamna kitu kama corona.
Viongozi wao waliomba Kenya isiwe ikitaja uraia wa madereva wao kila inapowagundua na kirusi, Kenya ilizingatia hili na kuweka siri, kila ikipima na kumgundua muathirika wa Tanzania, imekua inampokeza kwenye mamlaka husika kimya kimya. Kingine walichokubaliana ni kwamba madereva wawe wanapimwa kwenye taifa wanakotokea na kupewa vyeti, ili ipunguze msongamano pale mpakani, kwamba akiibuka na cheti, hana haja ya kupimwa tena, anapita tu, ila wakakubaliana hata hawa wenye vyeti watakua wanapitiwa mara moja moja (random tests), sio wote ila anaibukiwa mmoja kati ya kama kumi vile na kupimwa.
Hii hapa ndio imeibua changamoto, maana madereva wanaibuka na vyeti, wengi wanaoshtukizwa na kupimwa wanakutwa na kirusi ilhali wana vyeti, sasa hapo inabidi wapimwe wote, hata kama una cheti chenye mihuri ya hadi ikulu, lazima upimwe tena, na ndio wanakutwa na kirusi balaa.
Rais wetu Uhuru ana jukumu la kuhakikisha usalama wa afya ya Wakenya, haijalishi nini wala nini, Tanzania wanune, walipuke, wabwatuke, wang'ake ukweli utabaki pale pale, lazima tuhakikishiwe usalama wetu, wao wafanye yao huko watakavyo, lakini kila anayeng'ang'ania kuvuka mpaka kuja Kenya lazima afuate sheria zetu na masharti.
Sasa sielewi makampuni yao ya usafirishaji yanakwama wapi, mbona wasiajiri madereva pande zote mbili, gari linafika na kupokezwa kwa dereva wa nchi ya pili, wanatupiana funguo, linapulizwa madawa na kila hatua zinachukuliwa. Hapo mbona tutaendelea kuheshimiana tu. Ni bayana Kenya ndiye jirani muhimu sana kwa Tanzania, ukipitia takwimu zao za biashara baina yao na majirani wote, utakuta Kenya ndiko wanauza mazao yao mengi, na ndio maana wao hupiga makelele sana kila pakiibuka mzozo, maana hata ukiangalia leo hii Uganda bado wanataja madereva wa Tanzania wanaogunduliwa na kirusi, ila hautaskia Watanzania wakililia Uganda, wanawaacha waendelee kutaja, ila kwetu wanalia sana.
Njia itafutwe ya kumaliza hii issue kabisa, aidha tuwekeane bandari kavu mipakani kila mtu abaki kwao, au madereva waajiriwe kwenye kila taifa la pili, lakini ukweli utabaki pale pale, lazima upimwe upimwe upimwe, hapiti mtu...kwa cheti au makaratasi ya kariokoo lazima upimwe.