Makampuni ya Tanzania ya usafirishaji yanakwama wapi, maana yanasababisha nchi inaingia kwenye migogoro na majirani wote

Peleka upumbavu huko

Ni vichaa tu wanaweza kuamini trillion 1.5 kwenye mapato ya trillion 1.4 kwa mwezi yanaweza kuibiwa na bado serikali ikaendesha nchi bila misukosuko
Ona ulivyo mweupe kichwan sasa

Kwahyo hzo trn 32+ za budget zinatoka wap??
Umekariri kuwa serikal inajiendesha kwa mapato ya kodi tu

Hujui kuna
Mikopo
Grants
Gawio kutoka kwenye mashirika yake
Fine mbali mbali
Na mengine mengi
 
Me naamini huku tz Mungu katuponya hakuna corona, kama ingekuwepo mitaa yote kungekua na misiba nchi nzima
Kila mtu aliyepo hapa jf atazame jamii inayomzunguka nani kaungua na yupi kati ya hao kafa. Nenda mbali zaidi angalia ndugu zako wa mikoani na mkoa unaokaa kama wamepata tatizo lolote linahusu corona ukiona hakuna tambua Mungu katuponya
Nb: wamtumainieo Bwana nikama mlima sayuni hawata tikisika, tufanye kazi kwa bidii (magu voice)
 
Watanzania wanawaathiri wakenya kisaikolojia kwa maneno
 
Mimi ni mtanzania ila nakiri kwa hili tunakosea Sana sijui viongozi wetu wana Nia gani na sisi. Wanashindwa vipi kuendana na guidelines za WHO
WHO ni wahuni tu huoni USA wamejitoa wanapamban kivyao kwa hao mabeberu hawana majilani kama sisi me navyo ona kila mtu ambane na hali yake hata miezi 2 tu
 
Kenya wanayo haki ya kuchagua maisha badala ya uchumi. Watanzania wenye busara zao hawaridhiki katu na huu msimamo wa serikali wa kuwaweka rehani kiasi hiki.

Ikumbukwe 1+1 = 2 bila kujali wajinga wangapi wanasema ni 5.

Tanzania, mzee baba kasema kila kitu ni hewa, wafanyakazi hewa, cheti fake nk ije kuwa cheti cha Corona?

Corona: EAC kutokuwapo protokali moja, janga hili bado sana.

Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

Kuajiri madereva upande wa pili kwa shuruti kama hivi nayo si suluhisho. Hapo mbona hata engine za magari zaweza badilishwa? Gari si sawa na fyekeo la kufyekea majani kupeana peana tu.

Hata bandari kavu maingiliano yatajuwapo tu.

Hapa dawa sahihi ilikuwa ni kufunga mpaka tu!
Kenya hawana ubavu huo wakufunga mpaka na Tz
 
...Tanzania inauza Kenya bidhaa zenye thamani ya $270M kwa mwaka, wakati Tanzania inauza bidhaa SADC zenye thamani ya $740M...
$270Million tu ndio thamani ya bidhaa ambazo Tz iliuza Kenya? Wakati Kenya iliuzia Tz bidhaa za thamani ya $335Million mwaka jana. Alafu bado mnasema eti mnailisha Kenya. [emoji1] Huko SADC mliuza bidhaa za $740M wakati mwaka jana kwenye nchi tatu tu hapa AM Tz,UG na RW nchi ya Kenya iliuza bidhaa za thamani ya $1.2Billion! Kumbuka isipokuwa Uganda(wananua bidhaa zaidi ya nusu ambazo Kenya inauza AM), hakuna nchi nyingine hapa AM ambayo ipo kwenye top 10 ya nchi ambazo Kenya inaziuzia bidhaa kwa wingi. Bila viwanda vya maana hamna ubavu wowowe wa kuitishia Kenya kibiashara wala kuilisha. Mwaka jana thamani ya bidhaa ambazo Kenya inauza EAC ilipanda kwa 10%($110M), rekodi mpya ya miaka sita. Kenya’s EAC exports hit 6-year high after rows ease
 
Hiyo $740M ni South Afrika pekee, kwa ujumla Export ya Tanzania kwenda SADC countries inacheza kati ya $1.5 mpaka $1.7B, mwaka huu huenda ikafika $2B.
Tanzania exports to Sadc rise
 
Hiyo $740M ni South Afrika pekee, kwa ujumla Export ya Tanzania kwenda SADC countries inacheza kati ya $1.5 mpaka $1.7B, mwaka huu huenda ikafika $2B.Tanzania exports to Sadc rise
Kenya ipo @ $1.2B, exports kwa nchi tatu tu za AM, Tz, UG, RW na hapo UG tu, ambayo huwa inanua nusu ya bidhaa zote zinazouzwa na Kenya hapa AM, ndio ipo kwenye top 10 ya nchi ambazo Kenya inafanya exports kwa wingi. Sijui kama umeielewa hoja yangu? Alafu hakuna nchi yeyote ukanda huu wa Afrika Mashariki na ya kati ambayo inauzia Kenya bidhaa nyingi zaidi ya inazonunua kutoka Kenya. Hayo kando, mbona umejitia hamnazo kuhusu hizo takwimu zingine? Au unapuuza kwamba Kenya iliuzia Tz bidhaa za thamani ya $335M mwaka jana na Tz ikauzia Kenya bidhaa za thamani ya $270M tu ili uendelee na zile propaganda zako za sijui mnatulisha na eti hakuna Kenya bila Tz? [emoji1]
 
1)Kuanzia 2014 hadi 2018, Tanzania ndivyo iliyokua ikiuzia Kenya bidhaa nyingi kuliko Kenya, ni mwaka Jana pekee ndio Kenya iliuzia Tanzania bidhaa nyingi tena tofauti ikiwa ni ndogo sana, kama $35M tu, wakati miaka yote Tanzania tuliwauzia kwa tofauti kubwa sana kama $90M

2)Tanzania inafanya biashara na SADC huko exports zetu ni kati ya $1.5 hadi $1.7B, huku EAC Export zetu ni $700M, hii maana yake, kama tungekua tunafanya biashara na EAC pekee, exports zetu zingefikia $2B. Nadhani umenipata vizuri.

Nguvu nyingi tunawekeza katika nchi za SADC, ndio sababu Kenya inaongoza huku EAC kwa kuexport zaidi, ila tukiamua kuweka nguvu zaidi huko EA, hiyo pesa $1.7B tunayopata toka SADC itatoka EAC, maana yake tutaichukua toka Uganda.
 
Soko la bidhaa gani ambalo Tanzania hutegemea Kenya ukiacha vyakula ambavyo vinahitajika na nchi Jirani kuliko uwezo wetu wa kuzalisha?. Zimbabwe na Msumbiji pekee wanahitaji mahindi na mchele kuliko uwezo wetu wa kuwatimizia.

Biashara kati ya Kenya na Tanzania jumla haizidi $500M kwa mwaka, Tanzania tunawauzia bidhaa za $270M, wakati biashara na nchi za SADC tunauza bidhaa za $740M, nani kasema Tanzania tunahitaji Kenya.

Kenya haina bidhaa zozote muhimu inayouza kwa Tanzania zaidi ya Sigara, Sabuni, mafuta ya kula na maziwa, bidhaa ambazo zote tunazitengeneza hapa nchini na tunajitoshekeza, tukipungukiwa tunaagiza toka majirani wetu wa kusini.
270 kw kenya pekeake ni nyingi sana..yani inamaana kumbe soko la kenya pekeake linawaingizia hela karibia nusu ya hzo bidhaa mnazouza SADC[emoji1787][emoji1787]
 
1)Kuanzia 2014 hadi 2018, Tanzania ndivyo iliyokua ikiuzia Kenya bidhaa nyingi kuliko Kenya, ni mwaka Jana pekee ndio Kenya iliuzia Tanzania bidhaa nyingi tena tofauti ikiwa ni ndogo sana, kama $35M tu, wakati miaka yote Tanzania tuliwauzia kwa tofauti kubwa sana kama $90M

2)Tanzania inafanya biashara na SADC huko exports zetu ni kati ya $1.5 hadi $1.7B, huku EAC Export zetu ni $700M, hii maana yake, kama tungekua tunafanya biashara na EAC pekee, exports zetu zingefikia $2B. Nadhani umenipata vizuri.

Nguvu nyingi tunawekeza katika nchi za SADC, ndio sababu Kenya inaongoza huku EAC kwa kuexport zaidi, ila tukiamua kuweka nguvu zaidi huko EA, hiyo pesa $1.7B tunayopata toka SADC itatoka EAC, maana yake tutaichukua toka Uganda.
Nadhani ile ripoti hukuilewa vizuri, mbna ilisema kw umakini kwamba ukitoa 2014 na 2018 kenya imeuza bidhaa za hela ndefu kuliko tz
 
😀 😀 😀
Ni mara ngapi Magu wamekutana na kuitana mandugu na Uhuru huko chato , halafu kesho unaskia wafanya biashara wakenya wanafurushwa TZ kwa masingizio ya kijinga??
Wafanyabiashara gani wa kenya walifurumushwa Tz, can u provide an evidence of these claims u making
 
Eti mtatusikiliza, hatuitaji mtusikilize mafara wote nyinyi, na sisi tumepiga lini. We will see who cries the first, you cried and lied the first time, you will do the same this time, ndio mjue nyinyi ni nothing to Tz

Halafu mlivyo wa hovyoo, kila kiongozi kwenu anatupia matamko bila kujua kichwa ni nani kwenye nchi, yaani eti DC/mkuu wa wilaya ndiye anafunga mpaka.
Yote tisa, hatuwezi kuruhusu mtuambukize huo ujinga wenu wa kucheza na corona, kama mumeamua kuzikana huko kimya kimya kisa umaskini myafanye ila sisi ni middle income, lazima tujali maslahi na afya ya watu wetu, sio kuwatelekeza wajifie kama mangurue bila tahadhari yoyote.
 
si bora sisi DC anafunga mpaka kumjibu mrevi wa ng'ambo.

mimi ninachofurahi ni kwamba kwa mara ya pili,nakwenda kukuhakikishia kwamba TZ ndio mume halari wa ndoa wa kenya.
vile ulibisha mwanzo ukiwa huamini kilichotokea,sasa utahama jf kwa huzuni na aibu[emoji16][emoji16].

na safari hii tunawaminya kama mwezi mzima mpaka adabu irudi,hamwezi mletea kibesi manaume anyewajaza mimba.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
270 kw kenya pekeake ni nyingi sana..yani inamaana kumbe soko la kenya pekeake linawaingizia hela karibia nusu ya hzo bidhaa mnazouza SADC[emoji1787][emoji1787]
SADC jumla tunauza $1.7B, South Afrika pekee tunauza $740M
 
si bora sisi DC anafunga mpaka kumjibu mrevi wa ng'ambo.

mimi ninachofurahi ni kwamba kwa mara ya pili,nakwenda kukuhakikishia kwamba TZ ndio mume halari wa ndoa wa kenya.
vile ulibisha mwanzo ukiwa huamini kilichotokea,sasa utahama jf kwa huzuni na aibu[emoji16][emoji16].

na safari hii tunawaminya kama mwezi mzima mpaka adabu irudi,hamwezi mletea kibesi manaume anyewajaza mimba.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app

Sisi hatupo kiushindani, huo ni ujinga na utoto haswa kwa taifa maskini kama nyie kwa sasa mngekua mnawaza jinsi gani ya kujikomboa kutokana na elimu duni na ukata wa kujichokea.
Kikubwa ni kwamba sisi hatushindani, tunapambana kuhakikisha usalama wa afya kwa watu wetu, ndicho mataifa yote yaliyowazunguka yanafanya, mumeingia migogoro na majirani zenu wote kwa hili la corona kisa ujinga na ukosefu wa elimu au wataalam wenye uwezo wa kukosoa wanasiasa.
Nimeona sehemu mkulu wenu anahutubia walimu waliosongamana bila kujijali, eti hao ndio walimu wa nchi ambao tungetegemea wawe na kauelewa kidogo, ama kwa kweli mko nyuma sana yaani mnatia huruma, mumefanya Afrika tuonekane kama mazombi yasiyotumia ubongo kabisa.
 
Nyie matajiri gani mnakula Githeri kila siku.
 
tumekosana na majirani gani zaidi ya nyinyi mapapai!!!

kama focus yenu ni afya ya wakenya,sisi tunawasaidia kufunga mipaka ili mbaki salama.hatuwezi kushinda tunasumbuana na mwanaume mwenye ndevu na m@vuuzi ya matako anyejifanya mtoto wa kike.

Back
Top Bottom