Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyo kweli bado dogo hv ccm hawa jamaaa wana akili gani kwaio rais kutoa agizo nalo ni lakupongezwa njaa mbaya sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…