macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Halafu wewe nilishasema siku nyingi kuwa nitakuweka kwenye ''ignore list'' lakini nasau. Sasa umejileta mwenyewe ngoja nikupe kabali.Serikali haijapanic
Ndumuz ndio wamepanic - mmekimbilia Kenya kuomba akina mwangi, wanapewa kitu, Belgium holla, EU holla na NRNE holla
Mkagoma uchaguzi, holaaaaa
Tulieni sasa
Napenda sana kauli hizi za chadema maana zinawatoa tongotongo Waislamu flani wapumbavu wanaoambiwa Kila siku kuwa chadema ni Chama kinachochukia mnooo Waislamu na Uislami wenyewe kwa ujumla lkn wanakuwa na wagumu kuamini. Kwa Muislamu yeyote, jiunge Chama chochote lakini kujiunga chadema utakuwa umekosea sana, hauoendwi na hautakiwi huko hata kidogo. Hiki ni Chama Cha kidini na dini hiyo sio huo Uislamu wenu.Hii ni habari njema sana kwa chademq.... ukweli usemwe 😁😁😁😁 asilimia 60 ya viongozi waislamu waliopo chadema ni magugu ya ccm
Who cares?Halafu wewe nilishasema siku nyingi kuwa nitakuweka kwenye ''ignore list'' lakini nasau. Sasa umejileta mwenyewe ngoja nikupe kabali.
Na huyu ni mwanachama wake? Chadema iliyobaki ni kikundi cha wahuni, wavuta bangi, wameoza midomoHuyo Si lolote si chochote, chadema ilikuwepo, ipo na itakuwepo ! Huyo ni mpumbavu tu !!!!
Chadema ipo mioyoni mwa watanzania
Sasa hili linahusiana nini' na ushindi wa 98% atakaoupata Samia mwezi oktoba?!!!Halafu wewe nilishasema siku nyingi kuwa nitakuweka kwenye ''ignore list'' lakini nasau. Sasa umejileta mwenyewe ngoja nikupe kabali.
Chadema na matusi kwa Waislamu ni kama kahawa na kashata.Uislam umeingiaje? John mrema, Devotha minja nk wameama chadema mbona ujausema ukristu wao. Acha chuki na uislam.
Ndo 'think tank' la chadema hilo linaongea na alichoongea ndo hicho🤣🤣🤣🤣🤣Watu wengine kwa chama ni wadogo kuliko sisimizi halafu wanafikiri watayumbisha chama.
Sasa naona wameona kujiunga CHAUMMA haisadii wamebadili mbinu.
Anyway, wana akili finyu kama za yule anaewatumia.
Ni Shekh yule?nikisema madevu naongelea abudu yake. Walio wengi Wana uelekeo wa ACTBoni yai mbona ana madevu na bado yuko Chadema?
Kwa hiyo chama chenu hakitaki ndugu zetu isilamu? Ni chama cha kidini? Anhaa ndio maana akina njaagonza wako mstari wa mbele kupigania kila linalotamkwa kutoka kwenye kinywa Kilchojaa uzushi cha Braza K Mapovu.Hii ni habari njema sana kwa chademq.... ukweli usemwe 😁😁😁😁 asilimia 60 ya viongozi waislamu waliopo chadema ni magugu ya ccm
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.
"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."
"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."
Wewe ni mpumbavu hujitambui, hasara kwa jamiiNa huyu ni mwanachama wake? Chadema iliyobaki ni kikundi cha wahuni, wavuta bangi, wameoza midomo
Huyu aliibuka tu kutoka chooni akapokelewa na aende uMakamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.
"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."
"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."
Wadini ni wale wanao tetea uovu na kutetea waovu kisa huyo muovu ni dini yao ....waislamu ndiyo wadini tena udini wa kipumbavu ...wanakuambiq samia asikosolewe katika maovu anaye tenda kisa ni muislamu ...huo ndiyo udini tena udini wa kipumbavu ...Kwa hiyo chama chenu hakitaki ndugu zetu isilamu? Ni chama cha kidini? Anhaa ndio maana akina njaagonza wako mstari wa mbele kupigania kila linalotamkwa kutoka kwenye kinywa Kilchojaa uzushi cha Braza K Mapovu.
Kama uislamu wenyewe ni wakuunga mkono wahuni na kuabudu mabeberu na waarabu na kama uislamu wenyewe ni wakupiga vita uzalendo na wazalendo huo uislamu wa namna hiyo ni mpumbavu gani wa kuutaka? ...waislamu akili zenu mbovu mna tatizo la uanithi wa akili hii ndiyo shida yenu kubwa .....yani mnamuunga mkono mtu kwa kuangalia dini na si haki ...very stupid people.Napenda sana kauli hizi za chadema maana zinawatoa tongotongo Waislamu flani wapumbavu wanaoambiwa Kila siku kuwa chadema ni Chama kinachochukia mnooo Waislamu na Uislami wenyewe kwa ujumla lkn wanakuwa na wagumu kuamini. Kwa Muislamu yeyote, jiunge Chama chochote lakini kujiunga chadema utakuwa umekosea sana, hauoendwi na hautakiwi huko hata kidogo. Hiki ni Chama Cha kidini na dini hiyo sio huo Uislamu wenu.
Ahsante Mungu kwa kuwafumba akili Hadi kujikuta wakiweka hili hadharani bila wenyewe kujua.
Kwa posti niliyoi nukuu udini upo sana kwa wafuasi wa chadomo. Ni wadini wakubwa sana.Wadini ni wale wanao tetea uovu na kutetea waovu kisa huyo muovu ni dini yao ....waislamu ndiyo wadini tena udini wa kipumbavu ...wanakuambiq samia asikosolewe katika maovu anaye tenda kisa ni muislamu ...huo ndiyo udini tena udini wa kipumbavu ...
Kachelewa aende kwenye ubwabwa au zambarauMakamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.
"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."
"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."
tunasubiri mapichapicha ya mapokezi toka kwa makalla ama chama cha ubwabwaTunasubiri matusi toka machadema yakiongozwa na Lema.