Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti adai walio katika ziara ya Heche wanalipwa 200,000 /kila siku

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku

Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.

Kumbe mikutano ibaandaliwa kwa fedha za wanachama wa maeneo husika, holafu jamaa wanajipigia tonetone

Your browser is not able to display this video.
 
Huko ccm hawalipwi?
 
Unataka walale kwenye mahema?wakale kanisani au misikitini??

Hoja zenye ushamba ndo hizi!! Tuleteeni na Mbowe yeye alikuwa anawalipa ngapi.
 
Akili za kimaskini hizi laki 2 ndiyo unaanzishia uzi kisa wewe unalipwa elfu 7 kwa post unaumia
 
Ndio maana chama kinapewa ruzuku. Nawapongeza kwa kuitumia ruzuku vizuri.
 
Kama mke mdogo
Malalamiko hayana mashiko kwa mume kumbe unamtaka mume awe pekee yako
Kutwa kumshtakia mke mkubwa

Punguza ujinga
 
Sa100 analipwa sh ngapi kwa siku kwa kushinda Dar wakati ofisi ipo Dodoma?
 
Kwa jinsi wanavyopitisha kikapu kila baada ya mkutano sidhani kama wana hizo hela, kwenye gari wanatembea na bonge la kikapu cha kuombea hela ya mafuta kwa wananchi
 
Sisi wanachama tumekubali wacha watumie, ukitaka waende bure? Pumbavu knembe wewe!
 
Umemuona nchimbi anatembea na magari mangapina wanachama wangapi? Umemuona Wasira?

Acha wivu wa *******, wanavotembea ndipo Chama kinapata uhai.... Wewe umetoa Shilingi ngapi katika hizo 10m?
 
Mpuuzi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…