Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Iwapo kwa ujambawazi ule wa kawaida sawa.Kihalali kamwe mtaota ndoto hata kuwa vikojozi wa mchana.October tunadhiibiti Bunge na tunachukua Urais

HATUNA SHIDA NA URAIS WALA UCHAGUZI WENU.October tunadhiibiti Bunge na tunachukua Urais
Kwahiyo sisi tufanyeje?Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku
Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.
Kumbe mikutano ibaandaliwa kwa fedha za wanachama wa maeneo husika, holafu jamaa wanajipigia tonetone
Wewe una umri gani hadi unaleta hoja ya namna hii. Unataka walale stendi, washindwe na njaa. We unadhani ziara ya CPA watu hawalipwi? Posho zipo tuu.Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku
Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.
Kumbe mikutano ibaandaliwa kwa fedha za wanachama wa maeneo husika, holafu jamaa wanajipigia tonetone
Kwa maoni yake anataka walipwe kiasi gani kumbuka wana familiaNdio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku
Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.
Kumbe mikutano ibaandaliwa kwa fedha za wanachama wa maeneo husika, holafu jamaa wanajipigia tonetone
CCM siyo ombaomba.Huko ccm hawalipwi?
Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku
Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.
Kumbe mikutano ibaandaliwa kwa fedha za wanachama wa maeneo husika, holafu jamaa wanajipigia tonetone
Tumia common sense,CDM haina uwezo huo wa kulipa watu hiyo pesaNdio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku
Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.
Kumbe mikutano ibaandaliwa kwa fedha za wanachama wa maeneo husika, holafu jamaa wanajipigia tonetone
Hayo mtajua wenyewe ,sisi tunachotaka ni madadiliko tuNdio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku
Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.
Kumbe mikutano ibaandaliwa kwa fedha za wanachama wa maeneo husika, holafu jamaa wanajipigia tonetone
Mkuu mimi nshachangia zaidi ya million na badoo nachangia tone tone. Ata wakitumia 300,000 kwa siku wala hainiumi wewe ccm inakuuma nini na hela si yako?Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku
Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.
Kumbe mikutano ibaandaliwa kwa fedha za wanachama wa maeneo husika, holafu jamaa wanajipigia tonetone
CCM inakusanya na kujichotea.CCM siyo ombaomba.
Kumbe ndiyo hapa amekuja kupumzika babu TysonWalisema chama cha kujitolea imekuwaje tena masuala yaleyale waliyokosoa uongozi uliopita?
Tena laki 2 ni Hela ndogo kWa walio field..wangetakiwa walipwe hata laki5Akili za kimaskini hizi laki 2 ndiyo unaanzishia uzi kisa wewe unalipwa elfu 7 kwa post unaumia
Hizo ni hela zetu
Acha wale za nyumbu wa tonetone 😬 😬Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku
Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.
Kumbe mikutano ibaandaliwa kwa fedha za wanachama wa maeneo husika, holafu jamaa wanajipigia tonetone
200,000 per day × 30 days per month × 50 people = Tsh 300 million = ruzuku yote ya mwezi.Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku