Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji


Hao unaowadharau ndo uamua nani awe mshindi hata hao uwaonao smart wakipiga kura
 
Wacha kutusemea wananchi wa kawaida.
 
Idiot CCM member!

Unakiri wananchi wa kawaida (Wasioenda shule) ndiyo kura ya CCM!
 
KUKAA NDANI KUNGEMSAIDIA KUFANYA EVALUATION SO FAR
HAYA mwache azurure wee kama kala miguu ya kuku non stop with 0.000000000000001 impact!!!
Ushauri huu wape Lumumba kaka,upande wa pili hatuuhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…