Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
Kampangie mumeo cha kufanya ya ngoswe mwachie ngoswe
 
Lowassa alikunywa hadi uji kule Mabibo lakin akachemla
 
Vp, hawajazuia msafara? asije akafanya kikao cha ndani humo kariakoo shimoni
 
KUKAA NDANI KUNGEMSAIDIA KUFANYA EVALUATION SO FAR
HAYA mwache azurure wee kama kala miguu ya kuku non stop with 0.000000000000001 impact!!!

Mkuu ipo team ya kampeni inashughulika na kila kitu usihofu
 
Nimekuambia unateseka sana Relax bwana! Usipoangalia uta rest in peace kabla ya 28/10 tukose kura ya Lissu bure maana naamini utaiva tuu na kumpa kura.
Wewe una akili bwana! Hatuwezi kukulinganisha na mizigo mingine kama jingalao Bwana jela Bia yetu MOTOCHINI na utopolo wengine wachache.
Wamevaa barakoa
Huyo mnamjaza tu
Hana lolote hata 20% Itakuwa ushindi kwake
 
Back
Top Bottom