Ubunifu na kufanya mambo yako kimkakati na kwa uelewa wa hali yajuu katika kutimiza lengo au adhima yako huwa hatufundishwi darasani..Ni Kipaji anachokupa Mwenyezi Mungu. Ukimfuatilia LISU akiwa anaongea na wafuasi wake (case study kikao cha jana usiku na viongozi wa kanda ya Pwani) utadhani ni nyakati zile Yesu au Yusuph alipokuwa akiongeaa na Mitume wake..yaani watu wanamuelewa mapka wanakosa kuuliza maswali ya msingi wanauliza tu ili mradi anendelee kuongea kwa ufupi ni kwamba huchoki kumsikiliza aisee akiwa anaongea...Sasa msikilize JIWE akiwa anaongea na Baraza lake la Mawaziri arafu unambie ni kama nani.......mara nyingi woote huwa wanatamani kikao kimalizike upesi na kuondoka