Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kaone haka!Jamaa inaonekana unateseka sana. Kwan ww ni RC au DC au unacheo chochote ambacho haujasomea apo serikalini.
Wala usiwaze Lisu Hana ubaguzi kwa kukupa kazi mpaka uwe na kadi ya chama.
Izo ni tabia za washamba.
Kama umesoma Sasa inabidi umpe Kura yako Lisu maana utaona thamani ya elimu yako, hautafanyiwa maamuzi na mwanasiasa katika nafasi yako.
Kama umesoma hautakatwa 15% badala ya 8% na bodi ya mikopo, Kama haujasoma waonee huruma ndugu zako wanaokatwa kwa lazima 15% badala ya 8% yamakubaliano.
Shetani Hana rafiki
Niteseke kisa hiyo mzee wenu wa faragha?
Lisu hawi rais popote duniani! Ni kibaraka! Hata wananchi anaoenda kitafuta attention kwao wame mu ignore!
Lisu alifikiri ataenda kufunga mitaa ya kariakoo kwa nyomi ila kakuta watu wako busy kitafuta hela isipokuwa kikundi kidogo cha mashabiki wake walikuwa wanamfuata kwa nyuma.
Bahati nzuri hana kura za kumfanya awe rais. Watz hawawezi kuchagua kibaraka.