Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Tulia binti
 
Rais wetu huyo.. Ningeijua hii ratiba ya leo ningetinga Kariakoo mapema sana nipate nae picha.
 
Chamsingi asiombe kura basi, akitaka aende na jolly club akaongee na madada poa
Hata yale mabango ya Magufuli barabarani hayaombi Kura. Lissu hana haja ya “kuomba kura” muda huu.

Yeye kupanda mwendokasi, daladala na kutembea kwa miguu Kariakoo na Karume inatosha sana kwa muda wake huu wa adhabu. Atleast anaweza kujiongezea some additional sympath votes

Polepole atakuwa anajuta na haamini hiki anachokiona
 

Mfanya biashara wa kutembeza mifuko alipigwa na butwaa kumuona Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu, ambae katika sera zake anapinga sana wafanyabiashara wadogo kutozwa 20,000 kwa mwaka kwajili ya kitambulisho.

Haya yalitokea wakati Bwana Lissu akiwa anajipatia mahitaji yake sokoni hapo leo hii.
 
Mtupoli / Lori la mkaa, leo limetolewa gereji kwa majiribio, likajiongeresha kidhungu... TOBAAA..!
 
Safari hii Lissu hataishia sokoni tu ataenda hadi vyoo vya public kutafuta kura
DAR wamemfanya kitu kibaya
Watu wa dar wapo nae,moja ya mbeleko za chama mbogamboga ndio iliyochemka walijua wanamkomoa kumbe wanamjenga zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…