Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Wananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!

Watu wa chini ni law abiding wasiotaka mivutano yoyote na serikali .Namwelewa Lisu anataka kujionyesha guru wa sheria kwa kuwa mjeuri wa sheria!!! lakini kwa nani hasa anaotaka kuwaonyesha??? ni wavaa suti wa mahakamani na senior government officials ambao impact yao sanduku la kura ndogo wananchi wa kawaida wanajua kafungiwa ila mjeuri anadharau mamlaka anayetaka kutumia wananchi wa kawaida kama political shield ya ujeuri wake.
Tulia binti
 
Rais wetu huyo.. Ningeijua hii ratiba ya leo ningetinga Kariakoo mapema sana nipate nae picha.
 
Chamsingi asiombe kura basi, akitaka aende na jolly club akaongee na madada poa
Hata yale mabango ya Magufuli barabarani hayaombi Kura. Lissu hana haja ya “kuomba kura” muda huu.

Yeye kupanda mwendokasi, daladala na kutembea kwa miguu Kariakoo na Karume inatosha sana kwa muda wake huu wa adhabu. Atleast anaweza kujiongezea some additional sympath votes

Polepole atakuwa anajuta na haamini hiki anachokiona
 
1602088990712.png

Mfanya biashara wa kutembeza mifuko alipigwa na butwaa kumuona Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu, ambae katika sera zake anapinga sana wafanyabiashara wadogo kutozwa 20,000 kwa mwaka kwajili ya kitambulisho.

Haya yalitokea wakati Bwana Lissu akiwa anajipatia mahitaji yake sokoni hapo leo hii.
 
Mtupoli / Lori la mkaa, leo limetolewa gereji kwa majiribio, likajiongeresha kidhungu... TOBAAA..!
 
Safari hii Lissu hataishia sokoni tu ataenda hadi vyoo vya public kutafuta kura
DAR wamemfanya kitu kibaya
Watu wa dar wapo nae,moja ya mbeleko za chama mbogamboga ndio iliyochemka walijua wanamkomoa kumbe wanamjenga zaidi.
 
Back
Top Bottom