Iko shida kidogo hapa...
Wanapitia kwenye sababu ya Corona tu
Ukiwa critics dhidi yao na wakakuona ni tishio. Wakajaribu njia zote kukutoa kwenye reli wakashindwa, basi watakujia utengeneze urafiki nao....
Kuwakubalia, hilo linakuwa kosa kuu. Remember, the devil had never been a friend to any human beings...!
Seif asingekuwa kwenye mapatano hatari yanayoitwa GNU, asingekufa sasa. Alikuwa na maisha marefu sana sawa na Ally Hassan Mwinyi...who is over 90 yrs old now...
Kufanya urafiki na watawala wa awamu hii ya CCM bila kinga ya Mungu, basi tambua kabisa kuwa unasaini hati ya kifo chako tu...
They pretends to be friends. But they are absolutely murderers....
Maalim Seif Shariff Hamad, Mungu akuweke mahali unapostahili...