Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafariki tangu jana labda alibadili diniMuislamu huwa hachelewi kutangazwa akifa acha uongo
Kwani kuzikwa kwa heshima ndo kukoje?Bora alijiunga na serekali ya umoja wa kitaifa atazikwa kwa heshima zote za chama na serekali.
Naona leo umetulia na kuacha mambo ya itikadi,hongera sanaSad indeed. Seif alikuwa mwanasiasa makini sana
Tuione screenshot ya aliyosema ayoYeye alitangaza tangu jana, watu wakamshushua
Suala la Maalim Seif kuwa mpinzani makini sio jambo la kiitikadi. Hilo mpaka viongozi wa juu wa vyama vingine wanalijua.Naona leo umetulia na kuacha mambo ya itikadi,hongera sana
Mizinga ya kutosha kulipuliwa,jeneza kuwekewa bendera ya taifa,wimbo wa taifa la Zanzibar kupigwa na probably malaika watakuwa tayari kumpokea.Kwani kuzikwa kwa heshima ndo kukoje?