Makamu wa Rais Afghanistan awagomea Taliban, asema yeye ndiye Rais halali


Je unafahamu kama Wamarekani bado wapo Kabul na ndio wanashikilia Uwanja wa Ndege kwa Ulinzi Mkali? Je unafahamu hakuna mdudu yeyote toka Taleban ambae ameenda kushambulia hapo uwanja wa ndege?

Kuna mengi unatakiwa kujiuliza sana kuhusu hizo vita za Afganistan na uhusika wa Wamarekani.
 
Ni jana tu nimemuelezea uzuri jamaa humu.

Huyu ndie tegemeo la wamarekani.
 
 
Sasa jeshi lenyewe linalo mlinda limesalimu amri, yeye tu pekee yake anaweza kubisha kweli? Si wanaweza kumfwatua mara moja tu na mchezo ukaisha hivo!

Pengine anacheza na karata ya utashi wa watalibani kutaka kukubalika kimataifa na ahadi yao kwamba hawatalipiza visasi na wanasamehe watu wote wa lioshirikiana na wageni. Akijua kwamba lolote la kumfanyia yeye, litafuta imani ya nchi zote juu ya maneno ya watalibani.
 

Hawatadumu. Washageuzwa sana. Miamba imewatimua washenzi sana. Yaani kama mbwa koko tu.
 
Biden anasema malengo yao yamefanikiwa na kilichoshindwa ni jeshil la wa afghan na serikali yao.
 
Hawatadumu. Washageuzwa sana. Miamba imewatimua washenzi sana. Yaani kama mbwa koko tu.
Pamoja na yote, America wameondoka kwa makubaliano si kwa kutimuliwa.

Hao unaowaita miamba nani anawapenda, ikiwa hata wenyenchi wenyewe sasa wamejifungia ndani, na wengine wanadandia hadi ndege? Huo u mwamba nikwa maslahi ya nani kule Afghanistan?
 
Hawatadumu. Washageuzwa sana. Miamba imewatimua washenzi sana. Yaani kama mbwa koko tu.
Naona bado wewe hujui siasa za marekani mpaka utafuniwe na kumezewa.

Kwa akili ya kawaida ni kwamba USA wapo behind hiyo movie na ndo wafadhili wa Talebans. Wanachikitafuta ni justification ya wao kurudi tena Afghanistan ili waendelee kutawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…