Makamu wa Rais Afghanistan awagomea Taliban, asema yeye ndiye Rais halali

Wataliban wakimshika huyu wanaweza kumtaili kwa jambia
 
Itabidi ajitenge na Afhagan kama Somaliland ilivyojimega kutoka kwa wapenda vita
 
Naona bado wewe hujui siasa za marekani mpaka utafuniwe na kumezewa.

Kwa akili ya kawaida ni kwamba USA wapo behind hiyo movie na ndo wafadhili wa Talebans. Wanachikitafuta ni justification ya wao kurudi tena Afghanistan ili waendelee kutawala
Sina hakika na hili. Ninachokifahamu mimi taliban wana affiliations na china, urusi na pakistani anawasaidia kwa pasi fupi fupi.
 
Ni jana tu nimemuelezea uzuri jamaa humu.

Huyu ndie tegemeo la wamarekani.
Richard pamoja wamarekani wanamtegea lakini tayari pana ukabila unao anza kujitokeza coz WATALIBAN wengi wao ni wakabila la PASHTUUN wanachukua 60% ya wa Afghanistan, huyu Vice president Amurullah yeye ni wakabila la TAJIK na makamanda aliondoka nao ni wakabila la kitajik, yumo waziri wa ulinzi pamoja na mtoto wa mbabe wakivita wazamani wa kundi la NORTHERN ALLIANCE Ahmed Masood.
 
 

Attachments

  • VID-20210818-WA0102.mp4
    9.1 MB
  • VID-20210818-WA0116.mp4
    2.2 MB

Kwanza kabisa taleban sio magaidi, hilo neno umekaririshwa na msbeberu.


Uyo makamu kama ataiongoza nchi kwa sheria za kiisilamu apo sawa. Vinginevyo hafai na atolewe kwa nguvu awafate mabeberu.
 
Mleta uzi bandiko lako kama vile umelileta kichuki flani na dharau kwa hawa jamaa wataliban,, najua wengi wenu mnawachukia wataliban ila wao ndo wenye nchi na ndo washaingia madarakani hivyo,, na kama ilivyo ada yao nchi itaendeshwa kiislam na sharia,, yale mambo ya kisenge sheria za mmarekani mwanaume amfile mwanaume mwenzie atafute pengine pa kuyapeleka sio pale Afghanistan
 
Kwanza kabisa taleban sio magaidi, hilo neno umekaririshwa na msbeberu.


Uyo makamu kama ataiongoza nchi kwa sheria za kiisilamu apo sawa. Vinginevyo hafai na atolewe kwa nguvu awafate mabeberu.
Magaidi ni nani kiongozi?



 
Aendelee kujishaua. Bila US huyu ni kuku wa kisasa. Anatafuta namna ya kuiba pesa zilizobaki akimbie akale bata huko kwa sponsors wake. Hana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…