Makamu wa Rais Afghanistan awagomea Taliban, asema yeye ndiye Rais halali

Yes, aliitwa Ahmed Shah Massoud na ndie alikuwa "mentor" wake huyu Saleh.

Huyo mtoto wa Massoud ndiye kamanda wa hiyo Northern Alliance.

Marekani hawamtegei bali wanamtumia maana kama nilivyosema kwenye ile mada, huyu ni mtu wao yaani "asset".

Hivyo sasa ndo wanandaa Guerilla Movement huku Marekani wakitoa msaada kama logistics na intelligence.

Hii dunia tuione hivihivi, imejaa mauzamauza lukuki.
 
All in all hawa wanamgambo wa Taliban ni wakatili sana ... kuna college mate alikuwa anatoka pakstani alinisimulia vitendo vyao aisee sio sawa acha raia wadandie ndege . Kazi za kubaka wanawake na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu kweli???
 

Kwanza fahamu kwamba taliban ni mashetani. Hakuna binadamu anayataka. HIvo huwezi kunilazimisha kuyaabudu. Wewe abudu kama unataka.
Unasema kiislam na sheria zake, Sheria zipi hizo?

Kuua watu ?

Kubaka wanawake?

Kulawiti na kulala na watoto wa madrasa?

Kuoa vitoto vya miaka 8?

Kusex na maiiti za anti zao wakifa?

NI mfuasi wa shetani pekee na yule asiye na akili timamu, ndiye anaweza kufurahia mambo kama haya. Unatia mashaka kiongozi.
 
Ndo unavyofundishwa hivo na mchungaji wako
 
Haya magaidi ya talban yakichekewa yataharibu dunia
Inavoooonekana Taliban tangu walivofurushwa na marekani na kujificha mapangoni kwa karibu ya miaka 20, kurudi kwao ni kwa u tahadhari mkubwa,kwa kuhofia wasije wakafanya makosa baadae yakawakuta yaliowahi kuwakuta, ndio maana msemaji wao mkuu Zabihullah Mujahad akasema: TALIBAN hii sio ile ya mwanzo, kuanzia sasa tutashirikiana na jumuiya ya kimataifa pamoja na marekani, utawala wetu utazingatia haki za binadamu pamoja na haki za wanawake na hatuta ruhusu nchi yetu kutumiwa na Magaidi kudhuru nchi nyingine na vyombo va habari vitakua huru kwa kutoa habari.
 
All in all hawa wanamgambo wa Taliban ni wakatili sana ... kuna college mate alikuwa anatoka pakstani alinisimulia vitendo vyao aisee sio sawa acha raia wadandie ndege . Kazi za kubaka wanawake na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu kweli???
Kwa hiyo tushike lipi sasa apa,, kwamba hawa jamaa kwenye utawala wao ni wabakaji au ukikutwa umezini adhabu yake unapigwa mawe?
 
Wewe si ndiye umesema sheria za uislam wa talilban ndizo zinafaa? Kuna zingine mudi kashusha?
Naona unateseka sana na hawa jamaa Taliban,, tambua ya kwamba ile ni nchi yao na ndo washairudisha mikononi mwao,, na wataongoza kwa kufuata sharia za kiislam kama kawaida yao, utake ndo hivyo usitake ndo hivyo.
We endelea na ngonjera zako humu jf labda Biden atakusikia arudishe majeshi
 
Mkuu hawana lengo hilo wanaogopa vikwazo,wanawazuga ili waskatiwe misaada haya magaidi yanategemea kuuza mihadarati nje ndio yaingize pesa
Nchi yao ni mufilisi inamadini ya kutengenezea betri tu haina raslmali nyingine
 
Itabidi ajitenge na Afhagan kama Somaliland ilivyojimega kutoka kwa wapenda vita
Mkuu huyo jamaa kwao ni jimbo dogo la PANJSHIR PROVINCE lenye wilaya 7 population yake ni watu 173000 tu na tayari jimbo limezungukwa na Taliban, angalia ramani:
Nyekundu = TALIBAN.
kijani = PANJSHIR PROVINCE
Mji mkuu = BAZARAK
 

Mkuu, ni maneno tu ya kudanganya. Wameshaanza kuonyesha rangi yao halisi:-

1. https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2021/08/2886654_VID-20210818-WA0102.mp4

2.
3.
.
 

Mi hofu yangu ni kama mpaka kesho aksubuhi atakuwa hai. Maana hao jamaa kwa kunywa damu, hawajambo.
 
USA / UN wanawalea sana hao MAGAIDI.....Ilitakiwa wakamatwe wawekwe kwenye acid wayeyuke kabisa hadi mifupa.
 
Unaambiwa haya ni magaidi. Hakuna dini ni namna ya kuwafanya watu wawe chini yake. Kupunguza akili na uhuru wa watu kutumia fahamu zao. Ni miroho ya shetani iliyojaa ukatili, uuaji na ubinafsi na tamaa.

Ukizini unapigwa mawe, lakini kila wakati anayepigwa mawe kwenye uzinzi ni mwanamke tu. Je, anazini peke yake?

Yanasifika kwa kubaka wanawake na kupasiana, sasa yako wapi?

Mtu eti akiiba akatwe mikono lakini yananyang'anya vitu vya watu kama nini, hiyo dini iko wapi?
Mungu hataki uwongo lakini haya majitu hayaaminiki hata kidogo, dini gani hiyo?

Kusex hadi ma maiti, Mungu gani wa tabia hizo?

Hawa watu ni waabudu shetani, wasiomjua Mungu hata kidogo.
Wewe subiri uone episode inayofuata.
Kwa hiyo tushike lipi sasa apa,, kwamba hawa jamaa kwenye utawala wao ni wabakaji au ukikutwa umezini adhabu yake unapigwa mawe?
 
Meza mate kidogo,, mana si kwa mahubiri haya, nakushauri tu uongee na Biden arudishe majeshi Afghanistan mana roho inakuuma kuliko hata waafghanistan wenyewe, eti wanazini na maiti, we ndo unawashikiaga kipaja? Yani mchungaji wako anakulisha matango pori we hata ushtuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…