Makamu wa Rais Afghanistan awagomea Taliban, asema yeye ndiye Rais halali

Jamaa huyu anaongea sababu yuko panchir(ngome ya northern alliance) ambayo talibani hajawahi iangusha
 
Nani anakusanya michango ya kumuunga mkono huyu-the lastman❓❔, aje achukue
 
Nakupinga
 
Hapo Panjshir kwa mujibu wa taarifa za internet hakujawahi kutawaliwa na taleban .
 
HAO NI VIBARAKA WA MABEBERU.

TALIBANI IMEWARUHUSU WAKAPANDE NDEGE WAONDOKENAWENZAO.
 
Hawa taliban wangekuwa ni watu weusi tungetukanwa hadi basi
Ila bora wataleban Wana akili kuliko mtu mweusi.
Hakuna ngozi nyesi anaweza mudu kuishi katika ardhi ya afrganistan.. Nchi ni jangwa na milima mikubwa iliyojaa mawe tu.. Ila jamaa bado wa nafanya vizuri.
Kinachowarudisha nyuma ni dini.. History ina onyesha Kwamba kila sehemu inapotawala hiyo dini watu upoteza uwezo wa kufikiri.
 
Dini imeingiaje hapa?
 
Mbona Saudi Arabia kuna dini na wanafanya vizuri
 
unajua zao lao kuu ni lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…