Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lazima ijulikane ni mgonjwa hata kama hatulazimiki kuambiwa aina ya ugonjwa unaomsumbua kwakuwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake ama familia.VP siyo mali ya Umma.
Hakuna binadamu anamiliki binadamu.
Siyo kila kitu unaweza ukaambiwa kuhusu kiongozi wako; huna haki ya kujua hali na kila kitu cha kiongozi.
Kuhusu afya yake, hilo ni juu yake aidha akuambie ama asiseme au aseme kidogo.
Hata ukijua afya yake wewe inakusaidia nini? Unampa panado, au ni kutaka umbeya tu!
JK ilitolewa taarifa rasmi kwamba amesafiri Marekani kwenda kwenye matibabu.Hivi JK alipokua akipata matibabu huko ng'ambo alikaa muda gani?
Nani alitoa taarifa kama alikua na shida ya afya na alikua na upasuaji zaid yake yeye binafsi kusema kinagaubaga akizungumza na wazee wa dar es salaam, aliporejea kutoka huko alikokua akitibiwa?
Ndio maana baadhi ya wadau wanapendekeza cheo hicho kifutweNaomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Akhsate sana kwa kudhihirisha ukilaza wako.Wewe Pimbi kama wewe ni Msomi so uache kutumia ID Feki?
Najifunza kuandika misamiati Mimi ni Tuki? Bwege wewe
Chadema ni mbumbumbu
ndio muelewe jambo la ugonjwa wa kulitolea taarifa ni muhisika mwenyewe akiona inafaa...JK ilitolewa taarifa rasmi kwamba amesafiri Marekani kwenda kwenye matibabu.
Alichoweka wazi JK ni ugonjwa uliokuwa unamsumbua na alikuwa anaongea kupitia vyombo vya habari vya nje kuujuza umma.
PoleUlichokiandika kinaendana na majibu yako
Kama muhusika kasema uongo ukweli ni upi em tupe bwana msema kweliHajamuumbua yeyote Bali amethibitisha ni sehemu ya Mbumbumbu wa CCM. Makamu wa Rais unakubali kuwa dodoki la kusafisha uongo wa wenzio huku unasali kanisani na uliapa umeshika biblia?
We ushajaribu kuwa makamu wa rais?Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.?
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Nakumbuka walisema magufuli ni mzima wa afya 🤣Kama serikali inajenga utamaduni wa kusema uongo na kufanya usanii unatarajia wananchi wawe wakweli kwenye kodi .sensa .kutoa taarifa za waharifu .kuipenda nchi yao.kutotoa taarifa hasi kwa maadui wa taifa etc
Acha kuigiza ujinga.Mwacheni mzee wa watu apumzike na uchovu wa safari.
Cha msingi tunakubaliana kwamba alikuwa nje ya nchi.
Sasa kama alikuwa kikazi au vinginevyo, siyo kazi yenu!
Kwani wewe ukienda mjini kufanya kazi si unaweza ukapitia sehemu ukafanya jambo tofauti na lililokupeleka?
RubbishWhy unalazimisha hisia zako ziwe ukweli? Kumbuka huyo ni kiongozi ngazi ya juu kitaifa je kama serikali imebaini kuwa kuna umuhimu wa yeye kupewa short course ili kuimalisha uongozi wake ni lazima utangaziwe?
Unasubiri mwanaume anaandika wewe unakosoa?Acha kuigiza ujinga.
Sasa kwani JK alisema kwamba alikuwa kwenye shughuli maalum?Hivi JK alipokua akipata matibabu huko ng'ambo alikaa muda gani?
Nani alitoa taarifa kama alikua na shida ya afya na alikua na upasuaji zaid yake yeye binafsi kusema kinagaubaga akizungumza na wazee wa dar es salaam, aliporejea kutoka huko alikokua akitibiwa?