Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

Nigeria Wakati Wa Rais Buhari Walificha Anachoumwa Lakini Walisema Hali Yake Tete Na Ni Tia Maji Tia Maji
 
VP siyo mali ya Umma.

Hakuna binadamu anamiliki binadamu.

Siyo kila kitu unaweza ukaambiwa kuhusu kiongozi wako; huna haki ya kujua hali na kila kitu cha kiongozi.

Kuhusu afya yake, hilo ni juu yake aidha akuambie ama asiseme au aseme kidogo.

Hata ukijua afya yake wewe inakusaidia nini? Unampa panado, au ni kutaka umbeya tu!
Ni lazima ijulikane ni mgonjwa hata kama hatulazimiki kuambiwa aina ya ugonjwa unaomsumbua kwakuwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake ama familia.

Ni lazima wananchi wapewe taarifa kwasababu anatibiwa kwa kodi za wananchi wala hatibiwi kwa mshahara wake.
 
Hivi JK alipokua akipata matibabu huko ng'ambo alikaa muda gani?

Nani alitoa taarifa kama alikua na shida ya afya na alikua na upasuaji zaid yake yeye binafsi kusema kinagaubaga akizungumza na wazee wa dar es salaam, aliporejea kutoka huko alikokua akitibiwa?
JK ilitolewa taarifa rasmi kwamba amesafiri Marekani kwenda kwenye matibabu.

Alichoweka wazi JK ni ugonjwa uliokuwa unamsumbua na alikuwa anaongea kupitia vyombo vya habari vya nje kuujuza umma.
 
Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.

Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?

Ni kazi gani hiyo?

Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?

Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?

Maswali ni mengi kuliko majibu.
Ndio maana baadhi ya wadau wanapendekeza cheo hicho kifutwe
 
Wewe Pimbi kama wewe ni Msomi so uache kutumia ID Feki?

Najifunza kuandika misamiati Mimi ni Tuki? Bwege wewe

Chadema ni mbumbumbu
Akhsate sana kwa kudhihirisha ukilaza wako.
Ni punguani na kilaza pekee anayeweza kujibu hoja kwa matusi.
 
JK ilitolewa taarifa rasmi kwamba amesafiri Marekani kwenda kwenye matibabu.

Alichoweka wazi JK ni ugonjwa uliokuwa unamsumbua na alikuwa anaongea kupitia vyombo vya habari vya nje kuujuza umma.
ndio muelewe jambo la ugonjwa wa kulitolea taarifa ni muhisika mwenyewe akiona inafaa...

JK aligundulika ugonjwa wake 2013 akatoa taarifa 2015,

unadhani kwanini alifanya hivyo kwa mujibu wa taarrifa yake mwenyewe?
 
Ndio raha ya uraia pacha wa Burundi na Tanzania ukuchoka huku unaenda Uzumbura.
 
Hajamuumbua yeyote Bali amethibitisha ni sehemu ya Mbumbumbu wa CCM. Makamu wa Rais unakubali kuwa dodoki la kusafisha uongo wa wenzio huku unasali kanisani na uliapa umeshika biblia?
Kama muhusika kasema uongo ukweli ni upi em tupe bwana msema kweli
 
Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.?

Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais?

Ni kazi gani hiyo?

Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?

Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?

Maswali ni mengi kuliko majibu.
We ushajaribu kuwa makamu wa rais?
 
Dr kikwete alienda kutibiwa Tezi dume Marekani mbona Taifa lilijulishwa, kwa nini yeye ifichwe. inawezekana kweli alikuwa kwenye kazi maalumu na si ugonjwa.
 
Umeshaambiwa alikuwa nje kwa kazi maalum, wewe unakuja hapa kuuliza kazi gani,,kuna umuhim wowote makam wa rais kuripoti kila anachofanya? Kama unahis hujatendewa hak kafungue kesi mahakamani
 
Kama serikali inajenga utamaduni wa kusema uongo na kufanya usanii unatarajia wananchi wawe wakweli kwenye kodi .sensa .kutoa taarifa za waharifu .kuipenda nchi yao.kutotoa taarifa hasi kwa maadui wa taifa etc
Nakumbuka walisema magufuli ni mzima wa afya 🤣
 
Mwacheni mzee wa watu apumzike na uchovu wa safari.

Cha msingi tunakubaliana kwamba alikuwa nje ya nchi.

Sasa kama alikuwa kikazi au vinginevyo, siyo kazi yenu!

Kwani wewe ukienda mjini kufanya kazi si unaweza ukapitia sehemu ukafanya jambo tofauti na lililokupeleka?
Acha kuigiza ujinga.
 
Why unalazimisha hisia zako ziwe ukweli? Kumbuka huyo ni kiongozi ngazi ya juu kitaifa je kama serikali imebaini kuwa kuna umuhimu wa yeye kupewa short course ili kuimalisha uongozi wake ni lazima utangaziwe?
Rubbish
 
VP ni mali ya umma. Tunaposema ni mali ya umma hatumaanishi ile nafsi yake (Philip Mpango), tunamaanisha ofisi (VP Philip Mpango)
 
Hivi JK alipokua akipata matibabu huko ng'ambo alikaa muda gani?

Nani alitoa taarifa kama alikua na shida ya afya na alikua na upasuaji zaid yake yeye binafsi kusema kinagaubaga akizungumza na wazee wa dar es salaam, aliporejea kutoka huko alikokua akitibiwa?
Sasa kwani JK alisema kwamba alikuwa kwenye shughuli maalum?
 
Back
Top Bottom