Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

Wachange halafu washindwe kufankamia whiskey!
 
Wachange halafu washindwe kufankamia whiskey!
Ndo shida yao tu ,kwani katika mil 11 kila mbunge akitoa laki saba Kuna shida gani? Kwanza aliwasaidia Sana fika hapo mjengoni sio lazima kila kitu serikali bado bunge laweza fanya Jambo ,ukizingatia ni Rais wa kwanza fia madarakani ,wanashindwa kujiongeza KWA vitu vidogo
 
Team mwendazake mwaninifu. Sijui how he is aligning with the new post and new phase !!!!!
 
Kijumba kizuri kinajengwa soon. Mchakato unaendelea. Tusiwe wepesi wa kulaumu wakati amekufa hata miezi 2 bado.
 
Wakichanga au hata kutoa mawazo ya kuchanga unistue ili nami nitoe mchango wangu!
 
Mapema hii wameanza kuabudu kaburi. Duh!
 
Tena kama anatumia kodi zetu kufanya hizo ziara za kaburini ni ujinga. Si alikuwepo msibani? Sasa hizi naona ni kama sarakasi tu.
Asingeenda ungeona mandhari ilivyo kwa sasa!? Ujumbe unatumwa, ili wakufurahi wa furahi kwa miradi yao haramu ya kutubagua watanzania! Hata hivyo, watashindwa kuvunja umoja, amani, na upendo wa watanzania.
 
View attachment 1784273hii sio heshima kabisa, Rais kabuli lake limezungushiwa mabati kama kibda cha kupaki gari, inamaana serikali haina hela kujenga vizuri hapo? familia nayo imeridhika?
Kwanini wamefupisha herufi P ?yaani John p.joseph magufuli?wangeandika in full tu
 
Hivi kuzuru kaburi na wakati amezikwa juzi tu inasaidia kitu gani? Huwa sielewi. Hakuwepo kwenye mazishi huyu? Duh! Kiki au?
We umeshindwa kushughulisha u bongo wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…