LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Hii siyo story.View attachment 1784374
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli.
Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe.
Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe utakaofanyika Mei 26, 2021 unafuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wake Mheshimiwa Nditye.
Huyu marehemu anatakiwa awebamesha sahaulika long time. Ametesa sana watu.