Hii siyo story.View attachment 1784374
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli.
Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe.
Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe utakaofanyika Mei 26, 2021 unafuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wake Mheshimiwa Nditye.
[emoji1][emoji16][emoji16][emoji1][emoji23]Hata kuweka haya mabati wamempendelea. Siku nikienda Chato, mbali ya kukojolea kaburi nitayaiba mabati.
Uchawi tu.Mzee wetu Dr Magufuli alizikwa ki'mila safiii sana
Waambie watoe hayo maua yaliyokauka na badala yake wapande bustan nzuuuri ya eden maana huko alipo yupo peponi.pia waambie watoe hayo mabat wajenge ukuta harakaharaka kama walivyokua wanajenga vile vibanda vya watu kukaa wakat ziara ya mwili wake. Waambie waache uvivu mwenyewe alikua akisisitiza watu wachape kazi usiku na mchana! Kama ni pesa za kujengea ukuta ndiyo hamna wambie warudishe benz la mzee mwinyi wapate hela ya kujengea kaburi. Kama imeshindikana waambie wasionyeshe picha za kaburi la mzee wasukuma tunaumiaView attachment 1784374
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli.
Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe.
Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe utakaofanyika Mei 26, 2021 unafuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wake Mheshimiwa Nditye.
Kivipi?We umeshindwa kushughulisha u bongo wako?
Ameapa lazima ”akunye”ju ya hilo shimo alimofukiwa mbilikimo wa Chato 😂Alisemaje?
Na yeye Mpango alikuwa jimbo gani wakati wa ubunge wake? Si nako walitangaza jimbo liko wazi?Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe utakaofanyika Mei 26, 2021 unafuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wake Mheshimiwa Nditye.
Amezuru akiwa njiani kwenda Kibondo akitokea wapi maana Chato iko juu kule ziwaniDkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe.
Teh teh teh na Mimi nilipanga nikashushe mzigo kwenye mzoga wa Shujaa wa Africa.Wanamuogopa kigogo asiende kushusha mzigo pale kama alivyoahidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ataenda kunya juuAlisemaje?
Ngoja nijibanze pembeni kusikilizia comments za akina Retired na wenzake humuView attachment 1784374
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli.
Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe.
Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe utakaofanyika Mei 26, 2021 unafuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wake Mheshimiwa Nditye.
We acha tu, umenifikirisha na hii comment mkuu[emoji848][emoji848]Mungu akikuchukia hatari sana
Anaenda Kigoma kufunga KampenAmezuru akiwa njiani kwenda Kibondo akitokea wapi maana Chato iko juu kule ziwani
Mfunga Kampen na mfungua kampeniMakamu wa Rais unaenda kufunga kampeni kwa jimbo. Kwani kuna ushindani hapo si afunge tu mwenyekiti wa chama Mkoa. [emoji107]
Mwandishi alipaswa kusema yuko njiani kutokea ... kuelekea KibondoAnaenda Kigoma kufunga Kampen
Ndio naamini kweli alikufa asee mwanzoni nilidhani maigizo ujueView attachment 1784374