Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

Mwambieni meko ukweli kilichomuua Ni Corona aache ubishi avae barakoa huko asije akafa tena, anyway Yule dada wa kisarawe Ni mtamu, juzi Kati nimemuonja
Ulikumbuka kuvaa dawa ya penzi? Inasemekana pamoja na macorona ya mabeberu kulikua pia na magonjwa ya ajabu ajabu yaliyoletwa na mabeberu....
 
Tena kama anatumia kodi zetu kufanya hizo ziara za kaburini ni ujinga. Si alikuwepo msibani? Sasa hizi naona ni kama sarakasi tu.
unalipa kodi gani wewe falasi wacha roho za kimasikini.
 
Binadamu tuache viburi duniani tunapita tu tuache kutumia vyeo vyetu kunyanyasa wengine huku tukijiita majina ya kujisifu,eti "mimi jiwe" jiwe linakufaga!
tatizo ni kwamba utakufa tu hata uamue kuwaje.
 
Hata kuweka haya mabati wamempendelea. Siku nikienda Chato, mbali ya kukojolea kaburi nitayaiba mabati.
kigogo anakwambia alikunya pale nawewe unamsikiliza,hayatakii mema malinda yako
 
Wabongo tuache majungu hiyo ni temporary structure tu wakati plans za kujenga long term structure ziko underway
 
Legacy ya mwendazake imepepea kama manyoya kwenye kimbunga Jobo.

Huyu Mpango kachemka sana kama lengo lake ni kupata umaarufu kwa kuzuru kaburi hili. Sana sana anajitia kimavi.

Mpango anatakiwa awe mpole sana kwani sasa hivi angekuwa SIX FEET under; ameponea chupu chupu hivyo hana budi kumshukuru Mungu wake sana!!

Mpango hana budi kuwashukuru wazazi wake na waalimu wake waliomfundisha mpaka akafika hapo alipo vinginevyo akiwadharau ndio balaa hufuata!! Hayo ni mafunzo ya dunia. Wenzio wameondoka lakini wewe umebakizwa ujue kuna sababu na sio bure!!
 
View attachment 1784273hii sio heshima kabisa, Rais kabuli lake limezungushiwa mabati kama kibda cha kupaki gari, inamaana serikali haina hela kujenga vizuri hapo? familia nayo imeridhika?
UNACHOYO, MAONO MAFUPI NA AKILI MBOVU.
Kwa kawaida kaburi linajengwa baada ya walau mwaka mmoja- hata la Mwalimu baba wa taifa ilikuwa hivyo ni kwa vie ulikuwa hujajua kusoma na kuandika.
 
Nilitamani nipite kimya kimya..., nimeshindwa.

Magufuli kwa baadhi ya mambo mengi aliyofanya kwa muda mfupi, ilikuwa mambo hayo yaibadilishe nchi hii kwa kiasi kikubwa kama angeyaendeleza hadi ukomo wa uongozi wake ulipotakiwa kuishia kisheria, na pengine baada ya hapo ingekuwa vigumu kuyapangua kwa faida ambazo zingekuwa zinaonekana kutokana na matokeo ya mambo hayo.

Lakini haya mengine haya, ambayo hayakuwa na uhusiano wowote na mambo ya msingi, kwa nini alilazimika kuyafanya na kumharibia jina lake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…