Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

Gharama za upandikizaji wa mimba hapa nchini huenda zikianza kuwa na ahueni baada ya kuzinduliwa kwa kituo kingine cha upandikizaji wa mimba katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambacho kimegharimu zaidi ya billioni 1.2.
 
Kilichonichosha ni ile punyeto ambayo wanaume watapiga ili kutoa mbegu za kuunganisha na mayai ya wanawake!
 
infertility clinic imefunguliwa Leo hospital ya taifa muhimbili

Wote ambao hamuwezi kupata watoto karibuni Muhimbili kwa ushauri nakuona jinsi gani unapata msaada

Ukiona ujumbe huu please share na mwenzako Asanteni
 
Inatakiwa apatikane Rais ambaye atafuta hayo majina yote na kuweka majina ya maeneo husika. Haiwezekani mtu mmoja akawa na majina kwenye miradi 100

Hata Majirani zetu hapo wanatucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…