Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

Mbona unaongea kana kwamba hii nchi ni ya waislamu pekee yao....au kana kwamba ni sheria kuwa kila mtu afanye.......bado inabakia kuwa ni uamuzi wa mtu binafsi
 
Both cases IVF is performed.
 
Kwani IVF haikutanishi manic na mayai?
Kama.hujui kitu kaa kimya
 
sasa si ni huko mambele mkuu, huku kwetu hatujawai kuwa na hcho ktu kwa hyo lazima tuone ni kikubwa.
IS IT A NEED OR WANT?
KUNA VITU VINGI SANA BADO HAVIJAKAA VIZURI,HAWA WA KUTAFUTA WATOTO NI WALE WENYE NAFASI,MASKII WENGI BADO WANAJITAFUTA HATA KUNUNUA DOSE KAMILI YA ANTIBIOTIC
 
Wataenda tu
 
IS IT A NEED OR WANT?
KUNA VITU VINGI SANA BADO HAVIJAKAA VIZURI,HAWA WA KUTAFUTA WATOTO NI WALE WENYE NAFASI,MASKII WENGI BADO WANAJITAFUTA HATA KUNUNUA DOSE KAMILI YA ANTIBIOTIC
Hatuwez kusubiri maskini wote wajipate ndo tufanye mambo makubwa mkuu, maskini hawatakaa waishe chn ya jua.
 
tunashukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuleta hyo huduma hapa nchini, maana wananchi walikuwa wanasafiri maelfu ya km kufuata huduma hyo.

waangalie tu kwenye gharama za hyo huduma, maana mara nyingi gharama huwa ni kipengele.

Mmmmh
Mbona zipo hata za jijini ilipo hiyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…