Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

Tuko kwenye maombolezo!
 
Nilidhani huyo Msaliti Lissu ndiye anayefanya propaganda kwa kufanya kampeni kwa kuichafua nchi...halafu Hii kejeli ya kumuita marehemu mwendazake ni mbaya sana ...inaweza ikakurudia wewe na wenzako was Aina yako
 
Atakuwa bado hajapona vizuri ule ugonjwa wake wa kupumua kwa 100% bila shaka.

Haiwezekani mtu mzima wa kiwango cha PhD, hajui umuhimu wa upinzani Bungeni na pia katika nchi za Jumuiya ya Madola.
Mama Samia kaleta mzaha, huyu Corona bado Iko kichwani. Mwaka WA teuzi na kuapisha huu.
 
walioichafua nchi ni wale waliompiga risasi TL akiwa mbunge mchana kweupe mjn Dom bila kukamatwa, kawalaumu hao!.
 
Nilidhani huyo Msaliti Lissu ndiye anayefanya propaganda kwa kufanya kampeni kwa kuichafua nchi...halafu Hii kejeli ya kumuita marehemu mwendazake ni mbaya sana ...inaweza ikakurudia wewe na wenzako was Aina yako
Mwendazake ni Kiswahili fasaha bwashee hutumika zaidi nchini Kenya!
 
Tufanye uchaguzi mpya wa huru na haki ili tujiridhishe iwapo hiyo asilimia 20 ya 1991/92 bado ipo au ilishapungua
 
Nilifikiri kwamba Mpango ni material kumbe nae ni liability.
Yaani kipaumbele cha makamu wa rais ni kuua upinzani?
Naanza sasa kuichukia serikali ya mama Samia maana haina tofauti na ile ya Magu mtoa rushwa kwa uongozi ili kuua mawazo mbadala aweze kukaa salama mahali pa kuabudiwa.
 
Eti kuiteteaa Tanzania
Mataga mna nn lakini,[emoji2957]
 
Upinzani ulijiua wenyewe baada ya kuanza kutetea mafisadi
 
Ataendelea kutoa hela kuwanunua au hawa wataunga juhudi bure? Kuna dhambi huwezi kuzificha, Mpango na mipango yake kashindwa kuficha siri ya ununuzi wa Wabunge na Madiwani wa upinzani?
 
Lissu anatumika na mabeberu
 
Tuendelee kumkumbusha Dr. Mipango kuwa adui wa Tanzania ni wale wale; Ujinga, Maradhi na umasikini wala si Upinzani. Aache kujitoa ufahamu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wakishamia CCM uchumi wa Tanzania utapaa mpaka mawinguni.
🀣 🀣 🀣 kabisa. Wapinzani wametuchelewesha sana, bila wao tungekuwa tunafanana na Ujerumani kiuchumi
 
Hoja ya kimaendeleo haitegemei Chama bali uwezo wa kuyachambua mambo kwa kina kwa maslahi ya Taifa letu mama Tanzania. Makamu wa Rais, usitupotoshe mapema hii.
Kila tunapozugumza tuanze na Taifa badala ya vyama vyetu.
 
Lumumba alimpinga Meko kuhusu covid 19..Nani alikuambia Lumumba ni muimba mapambio Kama nyie
 
Nilidhani huyo Msaliti Lissu ndiye anayefanya propaganda kwa kufanya kampeni kwa kuichafua nchi...halafu Hii kejeli ya kumuita marehemu mwendazake ni mbaya sana ...inaweza ikakurudia wewe na wenzako was Aina yako
Kifo ni haki ya kila kiumbe chenye uhai, ukiwemo wewe na mimi. Kumwita Lissu msaliti ni kupungua uelewa wa maana halisi ya neno usaliti. Ni sababu ya ulaghai wa MATAGA wakihanikisha ufinyu wa uelewa na ujazo wa ujinga vichwani mwao. Uwasamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…