johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #101
Tuko kwenye maombolezo!Tunataka ukweli na sio habari mpya. Maana hata Qoran na Bible hazina habari mpya, lakini ni vitabu tunavyoviamini. Nataka Lisu leo apige mule mule. Hata Mandela enzi za makuburu wa Afrika kusini, walikuwa wanasema anachafua nchi kwa yale aliyokuwa anayesema.