...Wanaridhiana na nchi gani? Maana huku kwetu hakuna anayehitaji maridhiano...vurugu zililetwa na raia wa kigeni
Huyu rafiki yake GT Mayor Quimby, anapenda sana misafara na ving'ora.Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria.
Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao kutoka mkoani Dodoma.
Dkt. Nchimbi alibainisha kuwa moja ya dhamira kuu ya Rais Samia ni kuhakikisha mazungumzo ya maridhiano yanatekelezwa ipasavyo, ili Taifa liendelee kuwa na amani, mshikamano, na liwe mfano wa utulivu barani Afrika na duniani.
Aidha, Makamu wa Rais alihakikisha kuwa Tanzania ipo salama na tulivu, na tayari kuendelea kupokea wageni kutoka sehemu mbalimbali za dunia kwa manufaa ya pande zote.
Wewe ni mpuuzi sanaMakamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria.
Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao kutoka mkoani Dodoma.
Dkt. Nchimbi alibainisha kuwa moja ya dhamira kuu ya Rais Samia ni kuhakikisha mazungumzo ya maridhiano yanatekelezwa ipasavyo, ili Taifa liendelee kuwa na amani, mshikamano, na liwe mfano wa utulivu barani Afrika na duniani.
Aidha, Makamu wa Rais alihakikisha kuwa Tanzania ipo salama na tulivu, na tayari kuendelea kupokea wageni kutoka sehemu mbalimbali za dunia kwa manufaa ya pande zote.
Kaenda huku kaacha huku Nyuma Polisiccm wanaendelea kukamata kamata hovyo watu kuwabambikia kesi za uhaini, Polisiccm wanazidisha chuki mara dufu, hayo maridhiano atamkuta nani nje?Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria.
Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao kutoka mkoani Dodoma.
Dkt. Nchimbi alibainisha kuwa moja ya dhamira kuu ya Rais Samia ni kuhakikisha mazungumzo ya maridhiano yanatekelezwa ipasavyo, ili Taifa liendelee kuwa na amani, mshikamano, na liwe mfano wa utulivu barani Afrika na duniani.
Aidha, Makamu wa Rais alihakikisha kuwa Tanzania ipo salama na tulivu, na tayari kuendelea kupokea wageni kutoka sehemu mbalimbali za dunia kwa manufaa ya pande zote.
Wanaongeza chuki kwa kumtesa Heche kuwabambikia watu kesi za uhaini wakati wana machungu ya kupotelewa na ndugu zaoWaje turidhiane wanipe mabilioni yangu.
Kura za mifukoni za Tume ya ccmNasubiri kuona serikali itaridhiana na nani? Ushindi wa 97.66% na hakuna miongoni mwa wagombea waliolalamika kuhusu tukio la uchaguzi kwa wagombea 16, sasa maridhiano ya nini? Na nani? Kwa lengo gani?