PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maridhiano ni mazungumzo hebu tuyape chance.
Maridhiano ambayo raia wanayataka ni ya CCM kuachia nchi ishikiliwe na jeshi ili katiba ifanyiwe ukarabati mkubwa baada ya kuonesha udhaifu mkubwa katika vipengele vya uwajibishwaji wa watawala. Nje ya hapo hamna haja ya kikao hata kimoja.
 
Yote hayo yanaanza na MAZUNGUMZO lakini tukisema tudindiane kama Somalia haifai.
 
Hivi hawa ndugu ambao wanabambikiwa kesi za uhaini , hawa ndugu waliopoteza ndugu zao, wafuasi wa vyama hasa chadema jinsi wanavyonyanyaswa, watz wengine ambao wamechukizwa na mfumo wa uchaguzi , kuna wafuasi wa Dini ambazo zimeumizwa ,kweli maridhiano yatafanikiwa ,ngoja tuone
 
Dogo nina Form Four DIV-I-16 (Tabora Boys) form six DIV I-5 (EGM) nina BA -Economics (UDSM) MA Intelligence and International Security (Kings College-London).
kusoma pia ni kuwa na maarifa kichwani uwezi pita njia hizo ukawa na bado mpumbavu kichwani kwahiyo tuondolee upumbavu wako hapa
 
Wanavyoiidqnganya eti Tanzania ipo salama
 
Back
Top Bottom