Wanawaona watu wote maboga tu,Maridhiano yalipaawa yawepo endapo ushindi ungetofautiana kwa asilia 1 mpaka 10.
Mfano: Samia 52% VS Lissu 49%.
Sasa ushindi wa 98% maridhiano ya nini?
Halafu waliogomea uchaguzi ni CHADEMA, viongozi wake wooote mmewasweka mahabusu kwa kesi nzito nzito za Uhaini!
Hayo maridhiano yanaenda kufanyika baina ya nani na nani? CCM na CHAUMA? CCM na ACT?
Sasa hapo si itakuwa ni sawa na kujipaka mafuta kwa mgongo wa chupa?
Kama wanataka maridhiano ya kweli, basi wenye kesi za uhaini wooote wafutiwe, viongozi wooote wa CHADEMA waachiwe huru na waruhusiwe kufanya siasa.
Hapo kidogo maridhiano yanaweza yakawepo na raia wanaweza wakawa soothed.
Nyinyi ndo mnataka nchi mhalalishe haya mambo?Suck a dick
Acha uzwazwaNyinyi ndo mnataka nchi mhalalishe haya mambo?
Mimi ndo huyo mwenye Jeans ya Blue mpaukoHayo maridhiano wakafanye na hawa majambazi.
View attachment 3499100
Wave two ya maandamano tokea tena.Mimi ndo huyo mwenye Jeans ya Blue mpauko
Kwenye operation tokomeza alikuwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani watu wengi sana waliuawa.Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria.
Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao kutoka mkoani Dodoma.
Dkt. Nchimbi alibainisha kuwa moja ya dhamira kuu ya Rais Samia ni kuhakikisha mazungumzo ya maridhiano yanatekelezwa ipasavyo, ili Taifa liendelee kuwa na amani, mshikamano, na liwe mfano wa utulivu barani Afrika na duniani.
Aidha, Makamu wa Rais alihakikisha kuwa Tanzania ipo salama na tulivu, na tayari kuendelea kupokea wageni kutoka sehemu mbalimbali za dunia kwa manufaa ya pande zote.
Wataridhiana na nani wakati wale wa chama kinachotakiwa wakae nao ndio hao polisi inawatia hatiani kwa kosa la uhainiMakamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria.
Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao kutoka mkoani Dodoma.
Dkt. Nchimbi alibainisha kuwa moja ya dhamira kuu ya Rais Samia ni kuhakikisha mazungumzo ya maridhiano yanatekelezwa ipasavyo, ili Taifa liendelee kuwa na amani, mshikamano, na liwe mfano wa utulivu barani Afrika na duniani.
Aidha, Makamu wa Rais alihakikisha kuwa Tanzania ipo salama na tulivu, na tayari kuendelea kupokea wageni kutoka sehemu mbalimbali za dunia kwa manufaa ya pande zote.
Nikishakua na Magazini 02 full basi mi naweza kutembea popoteWave two ya maandamano tokea tena.