PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Iddi Amin alikua hadi na mizinga ila kaburi lake lipo Saudi Arabia na sio Uganda.

Joseph Desirè Mobutu alikua hadi na Mizinga ila kaburi lake liko Morocco na sio DRC.
Tokea hiyo tarehe 09 nikumwage Maviii
 
Ukisoma katikati ya mistari ujumbe wa hao watu wawili niliokutajia kuna ujumbe mzito.

Ila kwa sababu mnazolewa division IV huwezi kuelewa.
Dogo nina Form Four DIV-I-16 (Tabora Boys) form six DIV I-5 (EGM) nina BA -Economics (UDSM) MA Intelligence and International Security (Kings College-London).
 
Tupunguze machungu kidogo Kwa kucheka
 

Attachments

  • Ins_1926745635.mp4
    875.5 KB
Maridhiano kama gaza na Israel tu sisi tuanataka miili ya ndugu zetu na mateka mliowashikilia nothing more hamtaki tunaendelea tulipoishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…