Makamu wa Rais, Samia Suluhu akutana na Mkuu wa Kanisa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo

Makamu wa Rais, Samia Suluhu akutana na Mkuu wa Kanisa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo

Ogopa sana Askofu Shoo!
images

Sijaelewa maana ya picha hii mkuu
 
Hao maaskofu wanasiasa kuna namna ya kushughulika nao..kanisa haliizidi serikali maana hata andiko limetoa maelekezo kwa waamini kutii mamlaka sio mamlaka kunyenyekea kanisa..
Hakuna serikali inayozidi kanisa/dini, serikali huja na kupita zingine huangushwa hakuna mtu wa kuliangusha kanisa litabaki milele, serikali ya Magufuli imelikuta kanisa ataondoka ataliacha.
 
mnataka kuwapaka sumu wapukutike mmoja mmoja?
Tutajua nani sikio nani kichwa..twendeni tu..leo wanatumiwa na wanasiasa..kesho watatumiwa na mataifa makubwa dhidi ya serikali..sio jambo la kupuuza..hawatakiwi hata kuchekewa hao waendekeza matumbo.
 
Umeumia sana ustadhi Barbarosa , Mama samia kukutana na Askofu

Pole sana ustadhi Barbarosa ndio maisha hayo, Ustadhi Umeumia sana umetanguliza chuki, uchama na Dini yako ndio inakusumbua sana


Sijaumia ila nimesikitika nafikiri kuna tofauti hapo.
 
Natamani kwenye mahubiri, Dr Shoo akemee kiburi cha wana siasa wetu. Wajue kwamba imani ni kitu muhimu kwenye kuliinua Taifa
 
Back
Top Bottom