Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Mungu akubariki sana mama yetu! uishi maisha marefu
Jamani tuachieni na swaumu yetu mambo ya kuvunjana mbavu tusije paliwa mate tukameza bure.Kuna mtu akishaharibu, inakuwa ni jukumu la wenzake kurekebisha mambo.
do! yupi kati yao?Ogopa sana watu aina hii!
![]()
Kumbe unamjua hadi mwanzilishi wa Lutheran Church sasa unachobisha ni kitu gani.Kanisa la Kizungu lina miaka zaidi ya 1000 lkn siyo Kanisa la TZ, ninyi siyo Wazungu usichanganye mambo, angalau Waethiopia Kanisa lao lina miaka 2000 na ndiyo Kanisa la kwanza Duniani pongezi kwao, lkn Ulutheri umeanzishwa na Martini Luther miaka 500 tu iliyopita.
Isistoshe mimi siyo Muislamu kama ulikuwa unafikiri hivyo!
Ustadhi Barbarosa, Hata kipindi cha kikwete mlishindwa kulazimisha mahakama ya kadhiMimi siyo Muislamu kwanza niko karibu na ukristo klk Uislamu ingawaje pia nina uelewa kwa kiasi fulani na Uislamu, Budha na Dini nyingine.
Lkn nakupa ushauri mmoja, usifikiri wewe kwa kuwa Mkristo basi uko sawa na Muzungu kwa macho yake, unajidanganya, na Kanisa la Tanzania halina nguvu kihivyo kama mnavyodhania sema tu Viongozi wenyewe pia ni Wafuasi tu wa hizo Dini ndo maana wanawaheshimu hata Maaskofu wasiokuwa na adabu kama Shoo, lkn kiuhalisia hawana nguvu kiivyo zaidi ya Serikari inavyowaruhusu.
mkimpa urais mtamtukana kupita kiasi hiyo nafasi ya urais huwa sio nafasi ya kusifiwa ila ni nafasi ya lawama utasifiwa ukimaliza lakini sio wakati unakazi.Huyu mama angefaa zaidi kuwa rais kuliko jiwe ambaye kichwani mwake kumejaa chuki, hasira na mapambano na kilamtu kuanzia mkewe
Ustadhi Barbarosa, Hata kipindi cha kikwete mlishindwa kulazimisha mahakama ya kadhi
Ustadhi Barbarosa, kikwete ndie mtu aliyepigwa nyaraka nyingi sana lakini hakuchanganyikiwa na alikuwa muislamu
Ustadhi Barbarosa nyaraka mbili tu mwaka huu imekuudhi sana
Ustadhi Barbarosa, Serikali na Kanisa wametoka mbali sana na Kuna maeneo Kanisa liliwaachia serikali na serikali kuwaachia Kanisa
Udini wako ustadhi utakuumiza sana haya ndio maisha furahia tu,
Sisi Raia tumefurahi serikali kuomba msamaha na kuikana barua ni batili, Maisha yanaenda sawa
Huko kwenye msikitini wako ustadhi mlikuwa mnasubiri chuki na udini
Fact kabisaHata kama ni Kanisa la Tz, limeipiga Serikali na Waraka MZITO mpaka jpm kabaki mtupu..
Mwisho wa siku kamtoa kafara Msajili pale Mambo ya Ndani..
Na tangu Waraka utoke ujinga ujinga wenu ule wa kununua wapinzani, kuokotwa kwa maiti coco beach, na mambo mengine ya kidhalimu yamepungua..
Big up sana Dr Shoo na KKKT kwa ujumla.
Utasubiri sanaHao maaskofu wanasiasa kuna namna ya kushughulika nao..kanisa haliizidi serikali maana hata andiko limetoa maelekezo kwa waamini kutii mamlaka sio mamlaka kunyenyekea kanisa..
Hao maaskofu wanasiasa kuna namna ya kushughulika nao..kanisa haliizidi serikali maana hata andiko limetoa maelekezo kwa waamini kutii mamlaka sio mamlaka kunyenyekea kanisa..
Ustadhi Barbarosa haya maisha usi complicate na kuubeba udini moyoni unaumia sana sana,Mimi au ninyi mnaomtegemea Muzungu?
Mwanzo sikudhani haya maneno ni ya askofu Shoo ! Yupo very bold. Hivyo ndivyo "wa-kristo" wanapaswa kuwa. Ni ama moto, ama baridi!"Hajawahi kutokea kiumbe ama binadamu yoyote, mwenye cheo chochote, ama ulinzi wowote anaedhani kwake ni fahari kulitisha Kanisa ama kulitikisa.
Kiumbe huyo ama kiongozi huyu hajazaliwa wala hatazaliwa".
Askofu Dr. Fredrick Shoo
Mkuu wa Kanisa KKKT
07 Juni 2018
Ustadhi Barbarosa haya maisha usi complicate na kuubeba udini moyoni unaumia sana sana,
Mama Samia hajawasaliti kusalimiana na kuongea na Askofu, Sisi tunamuona ni Mama mwenye busara sana
Uchama sio Tatizo sana, Lakini udini Ustadh Barbarosa umekuzidi, Ulitaka mpasuko uzuke kati ya KKKT na Serikali kitu kimeshindikana
Ndio maana hata Ule msikiti wa sumbawanga ulipokuwa na mgogoro serikali iliomba radhi msikiti unajengwa vizuri
Ustadhi udini inakusumbua kikubwa tunakupa Pole, Serikali ilisharudisha uhusiano na KKKT na Leo jumapili Mama samia yupo kanisani
Ustadhi Barbarosa hayo Ndio maisha ya Amani na Furaha mashekh na maaskofu na serikali kushirikiana na kukosoana kwa Amani
Wewe ustadhi Barbarosa kaa na Udini wako na Leo jioni lazima uote ndoto huamini kilichotokea ustadhati kufika kanisani imekuudhi sana na ni mwiba kwako
Urais hauhitaji uzoefu bali hekima na busara vitu adimu sana kwa jamaa yenumkimpa urais mtamtukana kupita kiasi hiyo nafasi ya urais huwa sio nafasi ya kusifiwa ila ni nafasi ya lawama utasifiwa ukimaliza lakini sio wakati unakazi.
nafasi ya makamu wa rais ni kufanyazaidi upatanishi kati ya serikali na wananchi pale kwenye makosa hivyo kwa huyo mama kuwa hapo na kufanya hivyo ni sawa.
lakini ikumbukwe pia uzoefu wake katika kazi alizofanya akiwa ameanzia nafasi za chini kabisa na kupanda taratibu, zinampa uzoefu na kuonyesha kipaji kikubwa katika kumudu kazi yake hii.