Makamu wa Rais, Samia Suluhu akutana na Mkuu wa Kanisa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo

Makamu wa Rais, Samia Suluhu akutana na Mkuu wa Kanisa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo

"Hajawahi kutokea kiumbe ama binadamu yoyote, mwenye cheo chochote, ama ulinzi wowote anaedhani kwake ni fahari kulitisha Kanisa ama kulitikisa.

Kiumbe huyo ama kiongozi huyu hajazaliwa wala hatazaliwa".

Askofu Dr. Fredrick Shoo
Mkuu wa Kanisa KKKT
07 Juni 2018
Busara tu ndiyo inaweza kuendana na maelezo haya, kinyume chake ni vurugu na kuharibikiwa zaidi, tuombe hekima na busara katika maisha viwe ndiyo nguzo ya kusimama kwetu, amin.
 
Mbona Shoo kanukuu maneno ya Mwanasiasa Nyerere badala ya Biblia? Hapo tu kuchemka .Hana cha Kazi ya Mungu huyo ana Kazi ya chadema
Utasumbuka bure na Shoo. Bora ungepita kimyakimya tu bila kutia neno kwani hata ufahamu mdogo tu ya maneno ya hekima hutoka kwenye vinywa vya wenye busara linakushinda kutambua? Mungu hakuwahi kusema bali humsaidia mwanadamu hekima na busara! Hata Nyerere anaweza kuwa Mungu!
 
Bila kuzingatia ukanda utakuwa huna hoja?
Kaishiwa hoja kabaki na viroja! Haana issu kwani kachoka kusifu na mwenye kusifiwa hajamwona angalau ampe kauteuzi! Kaajiriwe udsm kunakotupwa jicho mara kwa mara au ufe kwa njaa hapo lumumba!
 
Hongera sana Baba Askofu Dr Shoo ujumbe wako kwa Baba Askofu Dr Laizer umesheheni na kubeba ujumbe mzito sana.
Ningeshangaa mango, meku Na bwashee usimsifie shoo asee ingekuwa maajabu ya Dunia namsubiri manka naye amumiminie sifa Na vigelegele askofu shoo Kwa kutoa bonge La point Manka uko wapi hujampongeza askofu shoo Kwa point alizotoa.Sio vizuri Manka.Ukija Christmas Moshi tutakusuta
 
Niulize tu, Mama Samia amejituma kwenda Tabora kukutana na Baba Askofu? Mama Samia alijichagua kuwa Makamu wa JPM? Kama jibu ni hapana, ametumwa na JPM, alipendekezwa na JPM, sasa mwenye busara zaidini nani? Naamini hata huo mwaliko ulipelekwa Kwa Rais!Ninachoona mimi ukubwa in jalala! Makosa yoteya Govt lazima abebeshwe JPM! OK. Ikatokea ilivyotokea wamekaa ikaonwa who is neutral ,aende Kwa ajili ya utangamano wa nchi hata JPM ana busara sana ila kwa vile watu tumeguswa tu kwa mengi! Lakini Kwa mstakbali mwema was Taifa, tumtakie meme!
Anaposimikwa ASKOFU wa Kanisa lolote lile nchini anayealikwa ni Rais mwenyewe ila anaweza kuwakilishwa na atakayempendekeza kama ni PM au VP au mwingine yoyote yule hata RC au DC
 
"Hajawahi kutokea kiumbe ama binadamu yoyote, mwenye cheo chochote, ama ulinzi wowote anaedhani kwake ni fahari kulitisha Kanisa ama kulitikisa.

Kiumbe huyo ama kiongozi huyu hajazaliwa wala hatazaliwa".

Askofu Dr. Fredrick Shoo
Mkuu wa Kanisa KKKT
07 Juni 2018


Nadhani ni maudhui ya kufunga mwaka 2018
 
Back
Top Bottom