comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Ogopa sana Askofu Shoo!
Si salama sana kumtaja hadharani.Nani huyo tena?
Ogopa sana Askofu Shoo!
Hakuna serikali inayozidi kanisa/dini, serikali huja na kupita zingine huangushwa hakuna mtu wa kuliangusha kanisa litabaki milele, serikali ya Magufuli imelikuta kanisa ataondoka ataliacha.Hao maaskofu wanasiasa kuna namna ya kushughulika nao..kanisa haliizidi serikali maana hata andiko limetoa maelekezo kwa waamini kutii mamlaka sio mamlaka kunyenyekea kanisa..
Hata uovu kwa sababu ni mamlaka inafanya kanisa litii? Uwe unafikiri kabla ya kuchangia.Hao maaskofu wanasiasa kuna namna ya kushughulika nao..kanisa haliizidi serikali maana hata andiko limetoa maelekezo kwa waamini kutii mamlaka sio mamlaka kunyenyekea kanisa..
Wewe sijui hata huwa unaandika nini,pumbapumba tupu!Labda kama Kanisa la Muzungu lkn siyo KKKT, usichanganye Kanisa la Muzungu na Kanisa la Mwafrika, KKKT ni Kanisa la TZ na kila kitu kinaishia hapo acheni kujidanganya!
Unfortunately huwezi kuwa..teh teh..teh.Hata haoa Serikali ni waoga nao na Waumini wa hizo hizo Dini pia ndo maana wanatishiwa nyau, lkn kama ningekuwa mimi wangetafuta pa kwenda!
Hii haiwezi kumsafisha Jiwe alijaa kiburi.Chadema inawauma sana hii!!
Tutajua nani sikio nani kichwa..twendeni tu..leo wanatumiwa na wanasiasa..kesho watatumiwa na mataifa makubwa dhidi ya serikali..sio jambo la kupuuza..hawatakiwi hata kuchekewa hao waendekeza matumbo.mnataka kuwapaka sumu wapukutike mmoja mmoja?
Umeumia sana ustadhi Barbarosa , Mama samia kukutana na AskofuOgopa sana watu aina hii!
Wewe utakufa na kihoro bure wenzako wanagonga mvinyo.
Umeumia sana ustadhi Barbarosa , Mama samia kukutana na Askofu
Pole sana ustadhi Barbarosa ndio maisha hayo, Ustadhi Umeumia sana umetanguliza chuki, uchama na Dini yako ndio inakusumbua sana
Unfortunately huwezi kuwa..teh teh..teh.
Mwangalie UVCCM mwenzako Barbarosa anavyoumia alitegemea kanisa litarudi nyuma na Askofu Shoo atatishika.Chadema inawauma sana hii!!
Kumbe buku saba ya pale lumumba ukiibajeti vizuri hadi mvinyo unanunua..big up aiseeMvinyo ndo kinywaji changu kila siku baada ya Mlo nimeacha Bia mwaka wa 5 sasa, tena napiga Dodoma wine yetu!