Makamu wa Rais, Samia Suluhu akutana na Mkuu wa Kanisa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo

Kumbe unamjua hadi mwanzilishi wa Lutheran Church sasa unachobisha ni kitu gani.
 
Ustadhi Barbarosa, Hata kipindi cha kikwete mlishindwa kulazimisha mahakama ya kadhi

Ustadhi Barbarosa, kikwete ndie mtu aliyepigwa nyaraka nyingi sana lakini hakuchanganyikiwa na alikuwa muislamu

Ustadhi Barbarosa nyaraka mbili tu mwaka huu imekuudhi sana

Ustadhi Barbarosa, Serikali na Kanisa wametoka mbali sana na Kuna maeneo Kanisa liliwaachia serikali na serikali kuwaachia Kanisa

Udini wako ustadhi utakuumiza sana haya ndio maisha furahia tu,

Sisi Raia tumefurahi serikali kuomba msamaha na kuikana barua ni batili, Maisha yanaenda sawa

Huko kwenye msikitini wako ustadhi mlikuwa mnasubiri chuki na udini
 
Huyu mama angefaa zaidi kuwa rais kuliko jiwe ambaye kichwani mwake kumejaa chuki, hasira na mapambano na kilamtu kuanzia mkewe
mkimpa urais mtamtukana kupita kiasi hiyo nafasi ya urais huwa sio nafasi ya kusifiwa ila ni nafasi ya lawama utasifiwa ukimaliza lakini sio wakati unakazi.
nafasi ya makamu wa rais ni kufanyazaidi upatanishi kati ya serikali na wananchi pale kwenye makosa hivyo kwa huyo mama kuwa hapo na kufanya hivyo ni sawa.
lakini ikumbukwe pia uzoefu wake katika kazi alizofanya akiwa ameanzia nafasi za chini kabisa na kupanda taratibu, zinampa uzoefu na kuonyesha kipaji kikubwa katika kumudu kazi yake hii.
 


Mimi siyo mdini na siwezi kuwa mdini labda kama hauelewi maana ya hilo neno!
 
Fact kabisa
 
Hao maaskofu wanasiasa kuna namna ya kushughulika nao..kanisa haliizidi serikali maana hata andiko limetoa maelekezo kwa waamini kutii mamlaka sio mamlaka kunyenyekea kanisa..
Utasubiri sana
 
Vice President
Amejaa Busara Hekma Maono
Hata Anapoongea Unajua Wazi Kiongozi Anasema Sasa Jambo

 
Mimi au ninyi mnaomtegemea Muzungu?
Ustadhi Barbarosa haya maisha usi complicate na kuubeba udini moyoni unaumia sana sana,

Mama Samia hajawasaliti kusalimiana na kuongea na Askofu, Sisi tunamuona ni Mama mwenye busara sana

Uchama sio Tatizo sana, Lakini udini Ustadh Barbarosa umekuzidi, Ulitaka mpasuko uzuke kati ya KKKT na Serikali kitu kimeshindikana

Ndio maana hata Ule msikiti wa sumbawanga ulipokuwa na mgogoro serikali iliomba radhi msikiti unajengwa vizuri

Ustadhi udini inakusumbua kikubwa tunakupa Pole, Serikali ilisharudisha uhusiano na KKKT na Leo jumapili Mama samia yupo kanisani

Ustadhi Barbarosa hayo Ndio maisha ya Amani na Furaha mashekh na maaskofu na serikali kushirikiana na kukosoana kwa Amani

Wewe ustadhi Barbarosa kaa na Udini wako na Leo jioni lazima uote ndoto huamini kilichotokea ustadhati kufika kanisani imekuudhi sana na ni mwiba kwako
 
Mwanzo sikudhani haya maneno ni ya askofu Shoo ! Yupo very bold. Hivyo ndivyo "wa-kristo" wanapaswa kuwa. Ni ama moto, ama baridi!
 


Mtake radhi Mama Samia kwanza, hawezi kunisaliti mimi kwa lipi? Chunga ulimi wako kijana, huyu Mama ana heshima na busara na hajawahi kukwaruzana na mtu hivyo usivuke mpaka!
 
Urais hauhitaji uzoefu bali hekima na busara vitu adimu sana kwa jamaa yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…