Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana:

IMG_20240907_115542.jpg

Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu?

Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
 
Sote tunachukizwa na watekaji?

Hatuwezi kuchagua watakao tuondolea kadhia kama hizi?

Au ni vyama mbele kama tai?
Kwani watekaji ni nani?

Prof Kindiki: Kila MTU atabeba Msalaba wake Mimi ni Waziri wa Usalama natenda KAZI Zangu Kwa mujibu wa Katiba
 
Kwani watekaji ni nani?

Prof Kindiki: Kila MTU atabeba Msalaba wake Mimi ni Waziri wa Usalama natenda KAZI Zangu Kwa mujibu wa Katiba

Kwani Sativa alipekekwa Oysterbay hotel?

Kutotaka kuwatambua watekaji kwa nguvu ya musuli ndiyo wanayoyakataa waungwana wa aina za kina Dick Cheney.

Vyama havipaswi kuwa mama zetu ndugu zangu.

Tukiwavaa watawala Hawa, bila kujali vyama, mengi, ukiwamo utekaji utakoma.

Kwani ninyi mna maslahi nao?
 
Trump ndio rais, hao wote ni walamba asali ambao wanaona Trump atawakatia mirija.
 
Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, imhotep na wale wengine.

Ule mwendo wetu sasa:

"Hiiiiiii.. iiiii ....!"
hilo ni jambo la kawaida kabisa katika demokrasia komavu za vyama katika nchi mbalimbali..

ni uhuru na haki ya mwananchi mpiga kura kuamua kumchagua kwa kumpigia kura mngombea mwenye hulka, sifa, sera na mikakati muhimu ya kuleta mageuzi na maendeleo...

Mie sijaona mahali shida iko, dick Cheney ana maamuzi yake huru 🐒
 
Hata kaka yake Tim Walz atampigia Trump.

Vipi aina za kina Lujasi au Tlaatlaah wenye kububujikwa machozi kwa lolote wanayaweza hayo?

Vipi aina za kina imhotep? Wanayaweza?

Uchawa ni laana!
ni muhimu kuheshimu maamuzi ya wananchi moja moja na watu mashuhuri pia katika kuamua wa kumuunga mkono na kumchagua..

ndivyo demokrasia komavu ilivyo 🐒
 
hilo ni jambo la kawaida kabisa katika demokrasia komavu za vyama katika nchi mbalimbali..

ni uhuru na haki ya mwananchi mpiga kura kuamua kumchagua kwa kumpigia kura mngombea mwenye hulka, sifa, sera na mikakati muhimu ya kuleta mageuzi na maendeleo...

Mie sijaona mahali shida iko, dick Cheney ana maamuzi yake huru 🐒

Hatuwezi kuchagua watakao tuondolea kadhia kama hizi za utekanaji?
 
Huyu mhalifu Dick Cheney mikono yake imejaa damu za raia wa Iraq

Yupi atakuwa na msafi?

Obama - Libya.
Biden - Gaza
Bush - Iraq
Clinton - Iraq

Makwetu wako wapi kina Ben, Lijenje au Azory?
 
Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana:

View attachment 3089391

Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu?

Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
Wapo Chawa kwa ajili ya maslahi ya matumbo yao na wapo Chawa kwa maslahi ya Taifa !
Wale wa kwa maslahi ya Taifa huwa hawaangalii Chama Zaidi ya Taifa lao ! 🙌🙏
 
Back
Top Bottom