Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

Kuokotewa porini katavi huko ukiwa umepigwa risasi ya kichwa, ili uliwe na fisi; ndiko mnakoita wapi kuachiwa huru?

hayo ni masuala binafsi ambayo sidhani kwamba vyombo mahususi vinahusika kwa nanmana yotote ile kutokana na weledi na uadilifu wa waandamizi na watumishi wake makini :NoGodNo:

hizo nyingine ni dhana potofu tu
 
Yakimkuta nduguyo kama yalivyowahi kumbabatiza Sendeka, usiache kutuletea mrejesho
 
Yakimkuta nduguyo kama yalivyowahi kumbambatiza Sendeka, usiache kutuletea mrejesho
ni muhimu sana kuishi na watu vizuri na kuheshimu ndoa za wenyewe..

isije ikawa umetamani cha mtu na mtu mwenyewe akaamua kumalizana na wewe kwa namna ya kirahamia, unakuja hapa unaanza kusingizia umetekwa na polisi, hiyo ni useless kabisa bana,

kua na heshima bana alaaa :NoGodNo:
 
Huyu mhalifu Dick Cheney mikono yake imejaa damu za raia wa Iraq
Bila kuondoa chochote katika dhamira yake ya kutompigia kura Trump; nikushukuru sana wewe, mkuu 'Proved' kwa kumbu kumbu hiyo maridhawa uliyo iibua.

Tusiwe watu wa kusahau mambo haraka haraka.
 
Marekani sasahivi haina watu aisee.

Yaani kibabu Trump ndio cha kukitegemea??

What a shame to America.
Amerika kwa sababu wanajiamini Taasisi zao zipo very Strong 💪 kwahiyo hata kibabu chochote kikija hakiwezi kuharibu chochote kwenye namna ya kuendesha Nchi !
 
Mzungu na mswahili ni watu wawili tofauti kabisa yaani kama usiku na mchana. Yaani eti sisi njaa tu inamfanya mtu awe mlamba viatu ili tu aweze kufikiriwa kwenye teuzi...!! Watanzania tuko watu wa hovyo sana.
 
ni muhimu sana kuishi na watu vizuri na kuheshimu ndoa za wenyewe..

isije ikawa umetamani cha mtu na mtu mwenyewe akaamua kumalizana na wewe kwa namna ya kirahamia, unakuja hapa unaanza kusingizia umetekwa na polisi, hiyo ni useless kabisa bana,

kua na heshima bana alaaa :NoGodNo:
Yule Mwenyekiti wa nanihino wa kule Kagera ndio anajua mambo huwa yanaendaje 😳
 
Back
Top Bottom