ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Tunaweza hata kumfungia kamba za viatu anayeweza kutoa cross pass ya Teuzi 😅👍Mzungu na mswahili ni watu wawili tofauti kabisa yaani kama usiku na mchana. Yaani eti sisi njaa tu inamfanya mtu awe mlamba viatu ili tu aweze kufikiriwa kwenye teuzi...!! Watanzania tuko watu wa hovyo sana.

