Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

Kwani Sativa alipekekwa Oysterbay hotel?

Kutotaka kuwatambua watekaji kwa nguvu ya musuli ndiyo wanayoyakataa waungwana wa aina za kina Dick Cheney.

Vyama havipaswi kuwa mama zetu ndugu zangu.

Tukiwavaa watawala Hawa, bila kujali vyama, mengi, ukiwamo utekaji utakoma.

Kwani ninyi mna maslahi nao?
Yap
 
Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana:

View attachment 3089391

Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu?

Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
Kabla ya kujifanya kuwa mtu makini atuambie ziko wapi WMD za Iraq.

Aseme kwanini alisababisha ulemavu vifo vya mamilioni ya Wairaq na askari wa USA kwa kusema uongo.
 
Iraq waliopigana kutafuta WMD hata Clinton.

Ila hapa mada ni kuhusu chama kutokuwa mama yake.

Pamoja na msimamo wake hakuna aliye na taabu naye.

Vipi ingekuwa kwetu ukiweka wazi utakapopiga kura Kwa kukerwa na agenda fyongo?
 
ni muhimu kuheshimu maamuzi ya wananchi moja moja na watu mashuhuri pia katika kuamua wa kumuunga mkono na kumchagua..

ndivyo demokrasia komavu ilivyo 🐒

Taabu ni kwenye kububujikwa machozi kwa lolote.

Ninakazia:

Uchawa ni laana.
 
Hatuwezi kuchagua watakao tuondolea kadhia kama hizi za utekanaji?
ni wananchi wenyewe tu kuamua kuchagua uadilifu na maendeleo au kuchagua dhana ya hofu, hisia na uzushi wa utekaji 🐒
 
Tushirikiane kuwatia adabu watekaji bila kujali vyama.

Hudhani hivyo ndugu?
 
Hao si waliunga juhudi?

Labda ungesema COVID-19?
Actually,
technically nilitaka tu kufahamu ikiwa kuna zaidi ya ninao wakumbuka waliofukuzwa uanachama kama mbwa kwasabu tu ya kua na maoni na mtazamo tofauti na viongozi wengine waandamizi chamani,

na waliowahi kufukuzwa chadema kama mbwa ni pamoja na kina Samson mwigamba, Prof kitila na Zito kabwe 🐒
 
Tushirikiane kuwatia adabu watekaji bila kujali vyama.

Hudhani hivyo ndugu?
kwasabubu za kimaadili na ubobevu wangu katika masuala ya kidipomasia, kisiasa, kitaifa na kimataifa. Na kwakuzingatia principles za kitaalamu katika kushughulikia masuala mbalimbali maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi...

ni vigumu mno kwangu mimi kushughulika na hisia au dhana ambayo si halisi na hivyo ni vigumu mno hata kudraw alternative means za kudeal nayo...

actually,
matokeo ya utafiti unaoendelea yakitoka, nadhani naweza kuona hatua muafaka za kuchukua 🐒
 
Taabu ni kwenye kububujikwa machozi kwa lolote.

Ninakazia:

Uchawa ni laana.
actually,
ilikua ni ushirikiana kuwafukuza zito kabwe, Prof.kitila mkumbo na Samson mwigamba kwasababu tu ya kua na utofauti wa kimaoni na kimtazamo na waandamizi wengine Chamani 🐒
 
Kufukuzana vyamani kwa tofauti za mawazo ni ushamba
 
kwasabubu za kimaadili na ubobevu wangu katika masuala ya kidipomasia, kisiasa, kitaifa na kimataifa. Na kwakuzingatia principles za kitaalamu katika kushughulikia masuala mbalimbali maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi...

ni vigumu mno kwangu mimi kushughulika na hisia au dhana ambayo si halisi na hivyo ni vigumu mno hata kudraw alternative means za kudeal nayo...

actually,
matokeo ya utafiti unaoendelea yakitoka, nadhani naweza kuona hatua muafaka za kuchukua 🐒

Kuna waliotekwa wakapelekwa Oysterbay.

Kwani ilikuwa ni hotel? Alisikika rais wa taasisi fulani akihoji.
 
unapotosha gentleman,
hakuna waliotekwa wakapelekwa oyestabay humu nchini...

usahihi ni kwamba kulikua mshukiwa wa uchochezi na mpotoshaji wa mitandao ya kijamii alieawahi kutiwa nguvuni katika kituo cha polisi katika eneo ulilolitaja na si vinginevyo na alikwisha achiwa huru muda mrefu :NoGodNo:
 
Kuokotewa porini katavi huko ukiwa umepigwa risasi ya kichwa, ili uliwe na fisi; ndiko mnakoita wapi kuachiwa huru?
 
Back
Top Bottom