Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

Mzungu na mswahili ni watu wawili tofauti kabisa yaani kama usiku na mchana. Yaani eti sisi njaa tu inamfanya mtu awe mlamba viatu ili tu aweze kufikiriwa kwenye teuzi...!! Watanzania tuko watu wa hovyo sana.
Tunaweza hata kumfungia kamba za viatu anayeweza kutoa cross pass ya Teuzi πŸ˜…πŸ‘
 
Amerika kwa sababu wanajiamini Taasisi zao zipo very Strong πŸ’ͺ kwahiyo hata kibabu chochote kikija hakiwezi kuharibu chochote kwenye namna ya kuendesha Nchi !
Bado nafasi ya Urais ina hadhi yake hata kama taasisi ni imara namna gani.

Rais ni image ya nchi.
 

Sendeka alishakuja huku akilia lia lakini.

Kwa sasa fanya kama umejitoa ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…