WORLD WAR 5
JF-Expert Member
- Aug 28, 2021
- 508
- 970
Asante sana....Pole sana....shule za kanisa na msikiti ni majanga.
.........................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana....Pole sana....shule za kanisa na msikiti ni majanga.
Nichukulie hivi hapo Nitakuwa natumia Akili kweli. Yaani Nichukulie tu. Hiki ndicho kitu kinasemwa sana Na Wachungaji ili wawachote vizuri akiliAlafu ukienda kutoa sadaka kanisani usichukulie kama umempa mchungaji we fanya kama umetoa kwa MUNGU ndio itakapo hesabika, wacha laana na adhabu ya MUNGU juu ya sadaka kutumiwa vibaya itawatafuina
Poa poa tutajua ukweli ukifaNichukulie hivi hapo Nitakuwa natumia Akili kweli. Yaani Nichukulie tu. Hiki ndicho kitu kinasemwa sana Na Wachungaji ili wawachote vizuri akili
[emoji835]Mungu hana Mikono kama Ulivyo wewe
[emoji835]Mungu hataki kitu kama Wewe unavyotaka taka Vitu
[emoji835]Mungu hataki chochote kile kutoka kwako.
Jiulize tu wewe hiyo mia 2 mpka Ma laki unayotoa Yanamuongozea nini Mungu kwa Mfano. Ila Hawa Miungu Mnaowapelekea huko kanisani ndio Yanachukia Usipoyapelekea Kitu na Yanachukia Pale unapokiwa hutoi Kitu maana Yanajua Kabisa kwamba Hizo sadaka haziendi kwa Mungu
Watakuja kukupinga maana walishajazwa upumbavu ,,,ila ukweli utabaki ulivyo sadaka ya kweli ni kusaidia yatima ,,wagonjwa na wajane,,pamoja na kujilinda na mabaya ya dunia,,,Sasa Hivi Wasomi wanazidi kuwa Wengi wajinga Wanapungua Kwa Kasi na Serikali ndio hiyo Inazidi kujenga Madarasa hata Kama Haijui Itawapeleka wapi hao wasomi inaowajengea madarasa
Waumini wenu wanaokuja Makanisani (wale wenye Akili Timamu) Wanaona Jinsi gani Mnavyoyaendesha Makanisa Bila Wao Kufaidia Directly na hizo pesa Mnazosema Mnampelekea Mungu wakati ukweli ni Kwamba Hazifiki kwa Mungu bali mnazipigia Bajeti zenu za Kujinufaisha Au Kutengeneza Future Za Maisha Na Makanisa Yenu na Kuanzisha Miradi ambayo haimnufaishi Muumini Directly
Hakuna Siri kwamba Makanisa Hapa Nchini yamekuwa yakikusanya Michango.. Sadaka.. Shukrani..Harambee...Bahasha...Michango ya Redio...n.k Milioni na Bilioni kwa Mwaka Zinakusanywa Katika Makanisa. ila Msaada kwa Waumini kama Waumini husika haiendi Directly Kitu ambacho Kinasababisha hata Watu kuona Wanachotwa Mifukoni kwa Kisingizio cha Watabarikiwa au Wanamtolea Mungu
Mfano 1: Leo hii Muumini Apate Ugonjwa au Kuzeeka Asijiweze. Kanisa Linakaa Pembeni waumini ndio wachange Tena Pesa katika Jumuiya zao Na Pengine Asipoudhuria Misa au Jumuiya ingawa Ni Muumini Aliyekuwa Anachangia Anapotezewa kama Vile ni Mpagani tu
Katika Vikundi mbalimbali hapa Nchini Watu wanachanga Pesa Na wanauliza Zitawanufaisha Vipi wao kama Wao either wakiwa Wameugua Au Wakiwa Na Sherehe au Kifo. Kitu Ambacho waumini Ambao wamepumbazwa Wanashindwa Kuulizia Sadaka na Michango yao Kanisani itawasaidia nini Katika maisha Mmoja Mmoja.
Wameambiwa Sadaka Ni Za Mungu wakati Wakishazitoa Wanaona Majengo, viwanja, Mashule na Mahospitali yanajengwa bila Wao kuwapewa hata Asilimia moja Ya Mapato kutoka Katika Vyanzo hivyo.
Na Wakijaribu Kupeleka Watoto au Wao wenyewe wanakutana Na Bei ambayo hata Asiyemuumini Anatozwa hiyo hiyo Pesa haijalishi.
Fungukeni Macho Mnapigwa kwa Kivuli cha Mnamtolea Mungu. Hii Siri Baada ya Wengine Kuijua Wameamua na Wao kufungua makanisa kwa Kasi na Wanaendelea Kupiga Pesa maana Waumini akili timamu Hazipo Zimeshafubazwa kwa Kuambiwa Mungu ndie Anayetolewa
Wakati Huyo Mungu kwanza Haitaji kitu chochote kile Kutoka Kwako maana Hana Mapungufu kama Wewe ulivyo. Yeye kakamilika Haitaji sadaka wala Dhabihu wala Kitu Chochote kutoka Kwako maana Huwezi Mlipa Chochote.
Umekuwa Muumini Wa Muda Mrefu mpaka Unazeeka Hapo. Kanisa Lako halina hata Account ya Kusaidia Waumini wake wanapopatwa na Matatizo. Hivi hamuoni Mmechanganyikiwa na Mnaendeshwa Kunufaisha Watu. Kazi yako ni Kupeleka Fungu la Kumi kanisani ambalo wenye Nalo wanaenda Kuweka Mabati kwenye Miradi ya Kanisa
Jisaidieni Nyie kwa Nyie. Pelekeni Fungu la Kumi mnalotoa huko Kanisani kwa Watu wenye Mahitaji maana Mungu ndio kawaumba Hivyo ,msaidianeni Nyie kwa Nyie si kumpelekea Binadamu mwenzako Pesa Halafu Yeye anakuhadaa eti Unampa Mungu.
Chukueni Pesa zenu Pelekeni wagonjwa..Pelekeeni Watoto Yatima Wanautunzwa Na Watu..wasaidieni wazee walio majumbani Hawana Uwezo wa Kujipatia Vyakula Wakat kanisa lako hilo Likisubiri Afe ili Lije Limpe Upako Tu na Kumzika na likimkuta Haudhulii Misa Linamuacha
Mtu anapata Ajali ya Gari tena Unakuta ni Mahala pa Kijijini anaokolewa na Mwanakijiji hapo anamuwahisha Hospitali anapatiwa matibabu. Halafu kwa Sababu Akili timamu hana anachukua Pesa anaenda Kutoa Shukurani kwa Mchungaji au anapeleka Sadaka Ya Shukurani kanisani. Aliyemuokoa Kule Kijijini na Hospitali waliomtibu hawakumbuki
Hivi wewe unategemea utabarikiwa wewe. Au ndio mabalaa ya Maisha Yatakuandama. Yaani Yule Mwanakijiji aliyekutoa Kwenye Gari na Kukuokoa Hana Maana Na Sometimes alikuwa anajipitia Tu ..kwanini Usiende Kumpa Yule na Hao wa Hospitali waliokusaidia Ukapona Wangekuacha Je Huyo mungu wa Huko Kanisani na Kwa Mchungaji wako angekuja Kukupeleka hospitali. Tujitambue Wana Ndugu tumepotoshwa sana na Tumepotoka Kweli kweli
Tutumie Akili Timamu na Tumwabudu Mungu asiyetaka Vitu bali Aliyeumba Vitu vyote bila Yeye Kukutaka Kitu Chochote kile kutoka Kwako. Huyo ndio Mungu wa Kweli hana Mapungufu ya Kutaka Taka Vitu. Si Kama ukimnyima Anakuchukia na Kukupa Mabalaa hapa Duniani hakuna Mungu wa Hivyo
Asanteni
Huu Uzi unahisu kutokutoa sadaka?, kama ndio.... sema... niendelee kusoma, hata Mimi sipendelei utitiri wa sadakaSasa Hivi Wasomi wanazidi kuwa Wengi wajinga Wanapungua Kwa Kasi na Serikali ndio hiyo Inazidi kujenga Madarasa hata Kama Haijui Itawapeleka wapi hao wasomi inaowajengea madarasa

Ni Kama Kuna ujumbe fulani Unataka kuufikisha lakini kwa andiko hili wengi watapoteza mwelekeo..! .
Mungu Katika Biblia ameagiza 'Nitoleeni Fungu la Kumi sababu hiyo ni haki yangu, na akaongeza nijaribuni Kwa njia hiyo Muone kama sitawafungulia madirisha ya Mbinguni.!
Kuna sehemu ameagiza 'pandeni juu milimani mkalete miti mnijengee Kanisa...!
Yote hayo ili Jina Lake Litukuzwe..
Ukitafakari Hayo Utagundua Michango na Sadaka kwa Mungu siyo Hiari ni Lazima...!
Nafikiri shida yako mtoa Mada ni Baadhi wa wanaokusanya hiyo michango na Sadaka Hawatumii kwa Malengo Yaliyokusudiwa...!
Ushauri : Wewe Hapo Ulipo Ukiona Sadaka zako Zinapigwa ...Hama tu.
Ukifa Huwezi jua Ukweli.Poa poa tutajua ukweli ukifa
Unahusu Njia Nzuri ya Kusaidiana Hapa Duniani kama Binadamu wenye Akili TimamuHuu Uzi unahisu kutokutoa sadaka?, kama ndio.... sema... niendelee kusoma, hata Mimi sipendelei utitiri wa sadaka
Asikudanganye mtu ukifa ndio unakuwa kwenye real life hapo utateseka kwa matendo yako mwenyeweUkifa Huwezi jua Ukweli.
Unakuwa Mfu na Kwenye Biblia si wameandika Wafu hawaongei wala Wasikii jambo Lolote kwahiyo huwezi Jua Ukweli ukifa. Utajua Ukweli ukiwa Hapa unaona na Kusikia
Wala huandikiwi dhambi kwa kutotoa sadaka ila unajikosesha baraka zako mwenyeweHuu Uzi unahisu kutokutoa sadaka?, kama ndio.... sema... niendelee kusoma, hata Mimi sipendelei utitiri wa sadaka
Vipi kuhusu zaka?Wala huandikiwi dhambi kwa kutotoa sadaka ila unajikosesha baraka zako mwenyewe
Ushawahi simuliwa Hayo na Mtu aliyewahi kufa???Asikudanganye mtu ukifa ndio unakuwa kwenye real life hapo utateseka kwa matendo yako mwenyewe
hahahah Naona umeninukuu vibaya kmuu sikumaanisha hivyoUshawahi simuliwa Hayo na Mtu aliyewahi kufa???
Kuna Watu wanakufa na Wanaenda Kuwa Misukule huko wakitumikishwa na Kutolewa ndimi zao . Hayo ndio Real Life unayoyasema. Au huyo Mtu akija ndio utamwambia Hivyo kwamba Alikuwa kwenye Real Life
Pia hivyohivyo ila kwenye zaka ni laana zinakufuata na unazikosa barakaVipi kuhusu zaka?
Daaah Binadamu Mtakatifu Unajikosesha Baraka kwa Kutokutoa Sadaka kwa Hao Wa Kanisani!?Wala huandikiwi dhambi kwa kutotoa sadaka ila unajikosesha baraka zako mwenyewe
Bado mnaendaga kanisani endeleeni na mjadalaImani haishikwi kisiasa.
Benefits za kiimani katika utoaji anaefahamu ni mtoaji.
Kuna faida nyingi Sana kwenda ibadani mzee karibuBado mnaendaga kanisani endeleeni na mjadala
Ngoja Nikuambie Kitu kimoja Ndugu yangu. Ulishajiuliza kwanini Kuna Mirundikano ya Michango ila Ina Badilika Majina Tu. Leo Sadaka.. Kesho Zaka. Kesho kutwa Harambee..Mwakani hiki na hiki n.k Ni njia ya Kukupumbaza Ili uone Mungu ndio anataka Kumbe SivyoPia hivyohivyo ila kwenye zaka ni laana zinakufuata na unazikosa baraka