Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
EAGTMpumbavu wewe, usichanganye kanisa safu la Mungu na matapeli unaowajua. Walokole hawana mambo hayo, we labda umeona matapeli wanaojifananisha na walokole
Haya uliyoyataja hakuna hizo biasharaEAGT
TAG
NK
Anatafuta attention na uchafuzi tu usio na maana! 🚮1. Je umefanya research ndipo ukaja kuanzisha thread hapa?
2. Kwa kiasi gani umefanya research yako hadi ukaweka hitimisho kwa makanisa yote ya walokole? (Wapentecoste)
TAG,EAGT mbona yako poa tu au wewe umefananisha na makanisa ya kiboko ya wachawoEAGT
TAG
NK
nakubaliana na wewe kabisa ipo namna, na sio kama Mungu amekaa kimya huwa anawachapa sema hawasemi tu,na bado Mungu atayaumbua tu,Haya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi.
Nikweli makanisa yote yapi kibiashara lakini ya kilokole yapo kibiashara nje nje bila kufichwa utaambiwa live.
Hii ni mifano michache tu
•Kumuona mchungaji,Mtume au nabii Hela.
•Kuombewa hela
•Utauziwa maji,sabuni,mchanga,vitambaa, mafuta nk.
Kitu kinachotukela hata sisi ambao hatuyasali haya makanisa yenu yana KELELE KUBWA MNO.
MFano Leo sijalala tangu nitoke kazini maana makelele yanapigwa hapa sijawahi kuyasikia popote. Sio miruzi sio watu wanaolia nk hadi imenibidi nisitishe tu kulala kwanza
Siyo kwamba hatuwapendi walokole lakini mnageuka KERO kubwa sana.
Hapa nipo jirani kabisa na kanisa la wasabato kama mita 400 kutoka kwangu lakini Jana nimelala vizuri tu hakuna KERO niliyopata ....pamoja na kwamba walikuwa na sabato sijui ya wageni lakini hapa kuwa na makelele hivi.
Hii imetufanya tujiulize maswali mengi wanao sali haya makanisa ni wavuta bangi au ni matahira hadi mpige miruzi na ukunga makanisani?
Huwa nashangaa sana Kumuona mwanaume na family yake kaongoza njia kwenda kwenye makanisa haya si kwamba tunapangiana lakini Yana uwalakini sana.
Hayachagui mivao utakavyokuja ndivyo watakavyokupokea ili mradi una uhakika wakutoa sadaka tu
Kanisa la masanja mkandamizaji yeye alisema hata ukienda nguo namna Gani ni sawa tu Mungu anaangalia moyo na siyo mavazi yake.
Hii ilitokea ni baadhi ya viongozi wa kanisa lake kuvaa nguo zinazo onyesha hadi maungo Yao.
Makanisa haya hapana asee
PICHA UBATIZO UKIENDELEA KWENYE MOJA YA MAKANISA YA KILOKOLE.
View attachment 3554774
njoo uone SeranHaya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi.

ila dhambi ya kuzini kwa kutamani ipo live, ndiyo maana ya dhana tubuni nyakati zote msijihesabie sio wakosefu,sisi ni wadhambi 😌 hakuna namna unaepuka hapoHaya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi.
Nikweli makanisa yote yapi kibiashara lakini ya kilokole yapo kibiashara nje nje bila kufichwa utaambiwa live.
Hii ni mifano michache tu
•Kumuona mchungaji,Mtume au nabii Hela.
•Kuombewa hela
•Utauziwa maji,sabuni,mchanga,vitambaa, mafuta nk.
Kitu kinachotukela hata sisi ambao hatuyasali haya makanisa yenu yana KELELE KUBWA MNO.
MFano Leo sijalala tangu nitoke kazini maana makelele yanapigwa hapa sijawahi kuyasikia popote. Sio miruzi sio watu wanaolia nk hadi imenibidi nisitishe tu kulala kwanza
Siyo kwamba hatuwapendi walokole lakini mnageuka KERO kubwa sana.
Hapa nipo jirani kabisa na kanisa la wasabato kama mita 400 kutoka kwangu lakini Jana nimelala vizuri tu hakuna KERO niliyopata ....pamoja na kwamba walikuwa na sabato sijui ya wageni lakini hapa kuwa na makelele hivi.
Hii imetufanya tujiulize maswali mengi wanao sali haya makanisa ni wavuta bangi au ni matahira hadi mpige miruzi na ukunga makanisani?
Huwa nashangaa sana Kumuona mwanaume na family yake kaongoza njia kwenda kwenye makanisa haya si kwamba tunapangiana lakini Yana uwalakini sana.
Hayachagui mivao utakavyokuja ndivyo watakavyokupokea ili mradi una uhakika wakutoa sadaka tu
Kanisa la masanja mkandamizaji yeye alisema hata ukienda nguo namna Gani ni sawa tu Mungu anaangalia moyo na siyo mavazi yake.
Hii ilitokea ni baadhi ya viongozi wa kanisa lake kuvaa nguo zinazo onyesha hadi maungo Yao.
Makanisa haya hapana asee
PICHA UBATIZO UKIENDELEA KWENYE MOJA YA MAKANISA YA KILOKOLE.
View attachment 3554774
Hawa watu ni zaidi ya waganga wa kienyeji. Kwa kifupi uganga wa kienyeji umebadilika na kuhamia kwenye hayo makanisa. Huo ni mtaji wa CCM ndiyo maana serikali inaachia wafanye watakavyo.Juzi nilikua naangalia BBC ikaisha nikajikuta nmekaa tu mara akaja mchungaji sijui wa Mwanza aisew anawanywesha watu nn sijui ndio anaombea kuna kijana sijui kafungwa mdomo asiongee mara akikaa hainuki haki nilicheka pamoja na kusikitika sana yani matendo ya ajabu kabisa
vipi CAGKaribu EAGT, FPCT , TAG, Hautojuta
Na kingine anaonekana ana chuki na hao anaowaita Walokole.Anatafuta attention na uchafuzi tu usio na maana! 🚮