Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hajaanza leo, wala haitamsaidia kitu! Akafanye research za kueleweka ndio aje kujaza server za jfNa kingine anaonekana ana chuki na hao anaowaita Walokole.
Hajaanza leo, wala haitamsaidia kitu! Akafanye research za kueleweka ndio aje kujaza server za jfNa kingine anaonekana ana chuki na hao anaowaita Walokole.
Ukristo ni utapeli///ukiwambia kweli wanakuambia we ni Kobazi,wakati sisi wengine hatuna dini.Haya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi.
Nikweli makanisa yote yapi kibiashara lakini ya kilokole yapo kibiashara nje nje bila kufichwa utaambiwa live.
Hii ni mifano michache tu
•Kumuona mchungaji,Mtume au nabii Hela.
•Kuombewa hela
•Utauziwa maji,sabuni,mchanga,vitambaa, mafuta nk.
Kitu kinachotukela hata sisi ambao hatuyasali haya makanisa yenu yana KELELE KUBWA MNO.
MFano Leo sijalala tangu nitoke kazini maana makelele yanapigwa hapa sijawahi kuyasikia popote. Sio miruzi sio watu wanaolia nk hadi imenibidi nisitishe tu kulala kwanza
Siyo kwamba hatuwapendi walokole lakini mnageuka KERO kubwa sana.
Hapa nipo jirani kabisa na kanisa la wasabato kama mita 400 kutoka kwangu lakini Jana nimelala vizuri tu hakuna KERO niliyopata ....pamoja na kwamba walikuwa na sabato sijui ya wageni lakini hapa kuwa na makelele hivi.
Hii imetufanya tujiulize maswali mengi wanao sali haya makanisa ni wavuta bangi au ni matahira hadi mpige miruzi na ukunga makanisani?
Huwa nashangaa sana Kumuona mwanaume na family yake kaongoza njia kwenda kwenye makanisa haya si kwamba tunapangiana lakini Yana uwalakini sana.
Hayachagui mivao utakavyokuja ndivyo watakavyokupokea ili mradi una uhakika wakutoa sadaka tu
Kanisa la masanja mkandamizaji yeye alisema hata ukienda nguo namna Gani ni sawa tu Mungu anaangalia moyo na siyo mavazi yake.
Hii ilitokea ni baadhi ya viongozi wa kanisa lake kuvaa nguo zinazo onyesha hadi maungo Yao.
Makanisa haya hapana asee
PICHA UBATIZO UKIENDELEA KWENYE MOJA YA MAKANISA YA KILOKOLE.
View attachment 3554774
Makanisa ya kilokole yote yapo ivyo...kuna mshkaji alihamua kuuza nyumba yake kuwakimbia hao mashetaniMpumbavu wewe, usichanganye kanisa safi la Mungu na matapeli unaowajua. Walokole hawana mambo hayo, we labda umeona matapeli wanaojifananisha na walokole
Hakika kabisa, asitoe hukumu kwa jamii yote,Hajaanza leo, wala haitamsaidia kitu! Akafanye research za kueleweka ndio aje kujaza server za jf
Wamekutapeli kitu gani?Ukristo ni utapeli///ukiwambia kweli wanakuambia we ni Kobazi,wakati sisi wengine hatuna dini.
Ukiniuliza mimi nini kifanyike,Swala la kelele ni kweli, mzik mkubwa yaani watu hatulali, kuna kipindi serikali iliingilia kati Sasa sijui imeishia wapi. Yaani hapo hakuna la mtu binafsi WAla nani kelele ni palepale. Huo ni utaratibu wao wanahubiri huku wanakoroma kama Simba. Yaani ni hatari
Naenda Kulipia "Mikoshi" Na "Kufanyikiwa"......Karibu tukuhudumie😃
View attachment 3554880
Ni kweli vipi kuhusu makekele? Ibada ya masipika inaanza saa12:00 asubuhi ni sahihi?Haya uliyoyataja hakuna hizo biashara
Haya mafuta huuziwi shida ni makelelle leo kanisa lilikuwa linapiga makelele ni TAG na Mungu wa bendera yamkini mungu wa bendera yuko mbali ila kelele lake si la kawaida!TAG,EAGT mbona yako poa tu au wewe umefananisha na makanisa ya kiboko ya wachawo
Uchafuzi upi? Mbona mkiambiwa ukweli kuhusu makelele mnaleta ngojera?Anatafuta attention na uchafuzi tu usio na maana! 🚮
Kama ni chuki basi tunayo wengi sana kikubwa acheni makelele yenu. Huu hapa uzi jamaa kashalalamika muda tu kuhusu makelele yenu.Na kingine anaonekana ana chuki na hao anaowaita Walokole.
Ndo uhalisia ukiwaambia ukweli wanakuambia unachuki na ulokole. Chuki itoke wapi sijawahi hata ingia ungovi nao.Kanisani unakuta watu watano ila mziki sauti inasikika mtaa wa tano.
Na huu ndo uhalisia sema hapa Tz hawaweki bei namna hii ila huwezi ombewa bure ujue!Karibu tukuhudumie😃
View attachment 3554880
Mada yako haijajikita kwenye jambo moja! Ukilalamika kuhusu makelele humu hakuna atayayekusikia!Uchafuzi upi? Mbona mkiambiwa ukweli kuhusu makelele mnaleta ngojera?
Rc,Kkt na wasabato mbona hawana makelele yenu?
Unadhani ndo mara ya kwanza tuna lalamika hapa?
Basi soma hapa pia
Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
- Bujibuji Simba Nyamaume
![]()
- makanisa makelele makubwa mungu walokole wendawazimu
- Replies: 199
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Nakubaliana nawewe. Mtu anaenda kanisani kupiga miruzi na kulia kwa sauti tena kashika mic hii ni akili ya wapi?Walokole walipaswa wawe mirembe ni vile basi afrika bado hatujawa serious na matatizo ya akili🤔
Najikitaje kwenye jambo moja ili hali mna mambo ya ajabu ajabu?Mada yako haijajikita kwenye jambo moja! Ukilalamika kuhusu makelele humu hakuna atayayekusikia!
Hahha so what?? Mambo ya ajabu unayajumuisha na mitume washenzi wa mitandaoni ili hali hujui lolote! Endelea kujifurahisha hapa, wala haitubadilishi 🚮Najikitaje kwenye jambo moja ili hali mna mambo ya ajabu ajabu?