Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
-
- #41
Yamkini mkuu kama unasema hapa naongopa njoo ulione kanisa lililo jirani yangu ni TAG(TANZANIA ASSEMBLY OF GOD) Ujionee kelele zinazopigwa kuna muda wanakuwa na ibada ya maombi jtano kuanzia saa2 usiku hadi saa6 mkuu hulali siku hiyo hadi wamalize ibada hiyo.Mtoa maada,tofautisha kati ya makanisa ya kilokole na makanisa ya watu binafsi.
Tanzania imekuwa na makanisa ya watu binafsi mengi sana,hayo utakuta analiendesha kanisa yeye mwenyewe anavyoona inafaa. Haya yana kelele sana kusema ukweli,yapo kati kati ya makazi, na muda mwingine hayana watu wengi ila kelele zinasikika mtaa mzima.
Kuna kanisa moja la mtu lilikuwa katikati ya makazi, wanachofanya wana modify tu nyumba ya kuishi inakuwa kanisa; jioni lilikuwa na ibada utakuta kuna watu wawili tu ila hilo kelele🙌🙌🙌 sjui hiyo ina maana gani kwa wenye wanajua?
Ni lini tahira akabadilika? Kuna uzi wowote humu una walalamikia KKT na RC Au WASABATO kuwa wana makelele kwenye ibada zao?Hahha so what?? Mambo ya ajabu unayajumuisha na mitume washenzi wa mitandaoni ili hali hujui lolote! Endelea kujifurahisha hapa, wala haitubadilishi 🚮
Uko sahihi mno.nakubaliana na wewe kabisa ipo namna, na sio kama Mungu amekaa kimya huwa anawachapa sema hawasemi tu,na bado Mungu atayaumbua tu,
TakatakaHajaanza leo, wala haitamsaidia kitu! Akafanye research za kueleweka ndio aje kujaza server za j
Hapa wamejaa mapovu kama mbwa mwenye kifafa wakipingana na ukweli uliopo. Hawajiulizi mbona makanisa mengine hatuyaongelei hapa?Swala la kelele ni kweli, mzik mkubwa yaani watu hatulali, kuna kipindi serikali iliingilia kati Sasa sijui imeishia wapi. Yaani hapo hakuna la mtu binafsi WAla nani kelele ni palepale. Huo ni utaratibu wao wanahubiri huku wanakoroma kama Simba. Yaani ni hatari
😃😃🤣Naenda Kulipia "Mikoshi" Na "Kufanyikiwa"......
Huna unalojua wewe mtu mwenye hoja huwa na point wala sio kejeli! Kubishana na wewe ni kama kutawaza kuku miguu🚮Ni lini tahira akabadilika? Kuna uzi wowote humu una walalamikia KKT na RC Au WASABATO kuwa wana makelele kwenye ibada zao?
KiajeHuna unalojua wewe mtu mwenye hoja huwa na point wala sio kejeli! Kubishana na wewe ni kama kutawaza kuku miguu🚮
Hii mada ningechangia snaa , sema nimelewa sana😆😆Kwa kweli haya Makanisa kwa kiasi fulani huwa yanasababisha watu kuonekana hawana akili timamu.
Hasa haya yanayoitwa Makanisa ya Wokovu, miujiza na matendo makuu ya Mungu.
Hivi inawezekana vipi watu Kanisani wengine wanalia, wengi wanaomba kwa sauti kubwa huku wamelowa mwili mzima, hapo hapo mchungaji anaongea kwenye maiki na Mpambe anamfuatisha kile anachokiongea.
Alafu Waumini wanaambiwa semaa Ayayaaaa 🤣🤣🤣 Waumini nao kama Mazombi yanasema.
Huu ni ujinga halafu inaonekana haya Makanisa ni project ya Serikali na Chama Tawala.
Maana hata huyo Yesu. Alisema NANYI MKIWA KATIKA KUSALI, SALINI HIVI BABA YETU ULIYE MBINGUNI, JINA LAKO LITUKUZWE.... Je haya Makanisa huwa yanasali hivi zaidi ya makelele tu?
Usinichanganye na weweKiaje
NakuchanganyaUsinichanganye na wewe
Kwa kweli haya Makanisa ni Project ya Chama Tawala kuwafanya watu wapoteze uwezo wa kufikiria vyema 🤣🤣🤣Hapa wamejaa mapovu kama mbwa mwenye kifafa wakipingana na ukweli uliopo. Hawajiulizi mbona makanisa mengine hatuyaongelei hapa?
Kejeli gani? Kama tunasema wazi kuwa kelele zenu kwetu ni kero wewe unasema hunadiliki kwa lolote so mtu mwenye akili timamu kubadilika ni muhimu ili kutoendelea kukera wenzake but ikiwa kinyume chake huyo mtu ni Tahira ndo kama wewe uliye jipambanua haupo tiyari kubadilika kutupigia makelele.Huna unalojua wewe mtu mwenye hoja huwa na point wala sio kejeli! Kubishana na wewe ni kama kutawaza kuku miguu🚮
Ni ajabu sana halafu ukiwaambia ujinga wao wanasema una chuki na kanisa lao kitu ambacho Mimi ninacho ambulance ni makelele yao tu basi.Kwa kweli haya Makanisa ni Project ya Chama Tawala kuwafanya watu wapoteze uwezo wa kufikiria vyema 🤣🤣🤣
Kuna Kijana fulani alimtukana Mwamposa, mpaka leo kuna Mwanamke fulani ambaye ni mfuasi wa Mwamposa kamuwekea kinyongo na chuki ya waziwazi yule Kijana
Mle hukoswi miruzi,watu wanalia kwa sauti tena kwenye mic heri hata kwenye kilabu cha pombe wao kama ni mziki ni mziki tu basiKwa kweli haya Makanisa kwa kiasi fulani huwa yanasababisha watu kuonekana hawana akili timamu.
Hasa haya yanayoitwa Makanisa ya Wokovu, miujiza na matendo makuu ya Mungu.
Hivi inawezekana vipi watu Kanisani wengine wanalia, wengi wanaomba kwa sauti kubwa huku wamelowa mwili mzima, hapo hapo mchungaji anaongea kwenye maiki na Mpambe anamfuatisha kile anachokiongea.
Alafu Waumini wanaambiwa semaa Ayayaaaa 🤣🤣🤣 Waumini nao kama Mazombi yanasema.
Huu ni ujinga halafu inaonekana haya Makanisa ni project ya Serikali na Chama Tawala.
Maana hata huyo Yesu. Alisema NANYI MKIWA KATIKA KUSALI, SALINI HIVI BABA YETU ULIYE MBINGUNI, JINA LAKO LITUKUZWE.... Je haya Makanisa huwa yanasali hivi zaidi ya makelele tu?
Mtu mwenye uelewa wa mambo na ambaye hajaathirika na virusi vya haya Makanisa ni rahisi kukuelewa lakini ambaye ameshalishwa Keki za upako, mafuta ya kuzimu, na maji ya kuoshea maiti (wanaita maji ya upako) hawezi kukuelewa maana tayari ameshakuwa mateka wa kiroho na hizi dini za kuzimu.Ni ajabu sana halafu ukiwaambia ujinga wao wanasema una chuki na kanisa lao kitu ambacho Mimi ninacho ambulance ni makelele yao tu basi.
Fujo zao ni sawa na watu wapo uwanjani au banda umiza wa naangalia mechi ya Simba na Yanga au Liverpool na Man U.Mle hukoswi miruzi,watu wanalia kwa sauti tena kwenye mic heri hata kwenye kilabu cha pombe wao kama ni mziki ni mziki tu basi
Kwakweli hapana asee.